Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road)

Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala.

Kinachonishangaza ni vile wako team work kila mtu anasonda kila daladala elf mbilimbili yake utazani wamepewa target ya makusanyo na viongozi waliowatuma!

Kama mambo meupe na mepesi kama hayo yanayoweza kuonekana hata na kipofu, napata mashaka na uwezo wa TAKUKURU Vinginevyo hilo Jambo lina BARAKA ZA WAKUBWA!

Hakika hayo ni matumizi mabaya sana ya sare za polisi na kodi za wananchi!

Maana sielewi kama kweli wanafanya kazi za jeshi au wanatumia sare za jeshi kufanya kazi zao binafsi!

Kama hili linabaraka basi halina tofauti na vibaka waliovaa sare!
 
Mkuu ubungo mataa ,urafik,na hapa maji ,na huku suka in short trafik wapo kimakusanyo na wanadaftari kabisa ukitoa wanakutiki Kama attendance
Ndiyo kujiuliza hivi hawa watu wanafanya kazi ya jeshi la polisi au wanafanya kazi zao kwa sare za trafiki!
Najiuliza tu
 
Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road)

Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala.

Kinachonishangaza ni vile wako team work kila mtu anasonda kila daladala elf mbilimbili yake utazani wamepewa target ya makusanyo na viongozi waliowatuma!

Kama mambo meupe na mepesi kama hayo yanayoweza kuonekana hata na kipofu, napata mashaka na uwezo wa TAKUKURU Vinginevyo hilo Jambo lina BARAKA ZA WAKUBWA!

Hakika hayo ni matumizi mabaya sana ya sare za polisi na kodi za wananchi!

Maana sielewi kama kweli wanafanya kazi za jeshi au wanatumia sare za jeshi kufanya kazi zao binafsi!

Kama hili linabaraka basi halina tofauti na vibaka waliovaa sare!
Wapo bize kutafuta dawa ya kung'arishs viatu vya aijipii bana.

Wangekuwa wsnafanya kosa wsngeshaondolewa kitambo
 
Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road)

Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala.

Kinachonishangaza ni vile wako team work kila mtu anasonda kila daladala elf mbilimbili yake utazani wamepewa target ya makusanyo na viongozi waliowatuma!

Kama mambo meupe na mepesi kama hayo yanayoweza kuonekana hata na kipofu, napata mashaka na uwezo wa TAKUKURU Vinginevyo hilo Jambo lina BARAKA ZA WAKUBWA!

Hakika hayo ni matumizi mabaya sana ya sare za polisi na kodi za wananchi!

Maana sielewi kama kweli wanafanya kazi za jeshi au wanatumia sare za jeshi kufanya kazi zao binafsi!

Kama hili linabaraka basi halina tofauti na vibaka waliovaa sare!
Ni waroho balaaaaaaaaaaa, kuna mmoja alinisimamisha nikaunga akaanza kunikimbiza akanikuta golen akala elf5 tukaachana
 
Wengine huwa wanalundikana barabara ya mandela (mbele ya veterinari - bodi ya mikopo elimu ya juu), na Azam....
Kuna siku nipo kwenye gari, abiria wanamwambia dereva ‘usichepuke, trafki yupo mbele pale’, dereva akajibu ‘sichepuki kwa sababu ya yule paleeeee wa mbele, huyu KITENGO chake ni bodaboda tu. Huwa hakamati daladala.’
MANINA 😂
 
Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road)

Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala.

Kinachonishangaza ni vile wako team work kila mtu anasonda kila daladala elf mbilimbili yake utazani wamepewa target ya makusanyo na viongozi waliowatuma!

Kama mambo meupe na mepesi kama hayo yanayoweza kuonekana hata na kipofu, napata mashaka na uwezo wa TAKUKURU Vinginevyo hilo Jambo lina BARAKA ZA WAKUBWA!

Hakika hayo ni matumizi mabaya sana ya sare za polisi na kodi za wananchi!

Maana sielewi kama kweli wanafanya kazi za jeshi au wanatumia sare za jeshi kufanya kazi zao binafsi!

Kama hili linabaraka basi halina tofauti na vibaka waliovaa sare!
Maisha yao wanakoseshwa sana haki zao so naona mamlaka zimewapa fursa za kujiwezesha wenyewe, japo ukisikia maonyo ya viongozi wao inapicha tofauti kbsa
 
Mambo kama haya ukiyatafakari kwa kina unagundua dhamana ya usalama barabaran iko mikono isiyo salama baadhi ya maeneo
Hili swala nilishaliweka humu juu ya hawa askari wa usalama barabarani eanvyokusanya rushwa kutoka daladala na magali ya mizigo hadharani bila woga. Hoi ina maanamgao unapanda juu mpaka mamlaka ya uteuzi. Takukuru hata siku moja huwezi kusikia wamemkamata trafiki kwa rushwa
 
Hakuna watu wana laana kama wale jamaa! Location yao nyingine ni Kibo, dawasco, mianzini mlimani sheli, bunju kwa baharia, bunju sokoni maua hizo zote ni vibanda vyao vya tigopesa
JamiiForums1573829196.jpg
 
Back
Top Bottom