Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

runtown

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
819
1,089
Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha.

Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.

20231113_151653.jpg
 
Taarifa imekaa mguu pande sana hii.

Kwahiyo hii picha uliyotuma umeipiga ukiwa unaandikiwa au umepiga tayari ukiwa umeandikiwa?
 
Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha.

Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.

View attachment 2812691
Nchi hii polisi wa usalama barabarani wamegeuka kuwa polisi wa uhasama barabarani
 
Taarifa imekaa mguu pande sana hii.

Kwahiyo hii picha uliyotuma umeipiga ukiwa unaandikiwa au umepiga tayari ukiwa umeandikiwa???
Apa kashaandika sema picha kuna watu wanaonekana nimeshindwa kuchafua ibak yq gar
 
Back
Top Bottom