Biashara ya usafiri inakuwaje

mahadhialy

Member
Oct 19, 2019
45
24
Habari zenu wakuu, ninaomba kujuzwa kuhusu biashara ya usafiri je ni biashara gani kati ya hizi.

1.Biashara ya mabasi ya mikoani, hii itakuwa inahusu mabasi ya abiria wa mikoani, ninaomba mnijuze taratibu hizi;

(a)Gharama za uanzishaji.
 
Uzi wako umeishia njuani mkuu ndomaana hamna wachangiaji! Nakushauri tuliza kichwa kisha andika uzi mpya wa kueleweka.
 
Back
Top Bottom