usafiri

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20. Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Adha ya usafiri wa umma jijini Dar-es-salaam:Serikali iruhusu magari aina ya Noah yatumike kubebea abiria mida ya asubhuhi na jioni

    Kutokana na kero ya usafiri katika jiji la Dar-es-Salaam kwa wanaotumia usafiri wa umma(daladala na yale mabasi ya mwendokasi),nashauri serikali ije na mkakati wa muda mfupi wa kuruhusu gari ndogo aina ya Noah zitumike kusafirisha abiri nyakati za asubuhi na jioni ili kuondoa adha ya watu kutaka...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TRC yatangaza kurejesha huduma za treni ya abiria kutoka Dar kwenda Moshi

    Shirika la Reli Tanzania, TRC linawatangazia watu wote kuwa safari za treni la biria kutoka Dar kuelekea Moshi zitarejea rasmi mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka 2019 Nauli Dar - Moshi inategemewa kuwa ifuatavyo: - Daraja la tatu Tsh. 16,500 - Daraja la pili kukaa Tsh. 23,500 - Daraja la pili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi usafiri wa Dodoma - Dar usiku ulishaanza?

    Naomba kufahamu taarifa hii. Kuna kipindi ilisemekana mabasi yameruhusiwa kusafiri usiku. Je Dodoma - Dar upo? Ni saa ngapi na magari gani yanaroute hiyo? Nawasilisha.
  5. lucky lefty

    JamiiForums Tanzania Oyaa Tax - usafiri wa bei nafuu na haraka Kisiwani Zanzibar

    Kwa mara ya kwanza nchini Zanzibar, Kampuni ya OYAA TECHNOLOGIES LIMITED Imetuletea wakazi wa Zanzibar huduma ya Taxi al maarufu kama OYAA TAXI. Mfumo huu ni kama mifumo mingine iliyozoeleka huko Bara na duniani kwingine kama Taxify,Ping na Uber. Ni huduma ya nafuu na haraka hasa ukizingatia...
  6. Tanzanianiano

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Basi from Dar es Salaam to Johannesburg

    Habari wanaJF, Nipo na plan ya kusafiri Dar -Jo'burg kwa bus. Naomba msaada kufahamu yafuatayo: Safari inachukua siku ngapi? Route ipi ni the best kati ya kupitia Lusaka au lilongwe? Nauli ni bei gani, kampuni ipi ya mabasi ipo vizuri? Na kingine chochote cha kuzingatia kwenye safari.
  7. D

    JamiiForums Tanzania MADEREVA WA UBER ,TAXIFY NA ROVA.

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo...
  8. Kipilipili

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Habari wana jukwaa, Kumekuwa na ongezeko kubwa la wafanyabishara kutoka Tanzania kwenda China kufanya biashara mbalimbali kama nguo, vipuri vya magari na pikipiki, vifaa vya electronics nk. Najua kuna thread nyingi zimewahi kuzungumzia biashara za China, lakini nimuombe mkuu Invisible...
Back
Top Bottom