Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,653
- 218,143
Ametumia usafiri huo wa umma ili kwenda sawa na wapiga kura.
Huyu hapa
Huyu hapa
Ni uamuzi binafsiKwamba anaigiza kuwa ni mtu wa hali ya chini na kwamba hana v8 kama wagombea wengine,au?!
...vipi angefanya hayo wa upande wa pili je ungesema hivyo uliyosema?Ni uamuzi binafsi
Huyo jamaa anaotesha Hekalu huko Arusha ni balaa, Singida wanajulia wapi nn kinaendelea Arusha?. Tatizo Tanzania washamba wengi sana.Unafki mkubwa. Wallah ningekuwa msingida wala kura yangu asingepata.Mtu kwake kapark marange halafu anatuona sisi wapumbavu eti anakwenda kuchukua form kwa boda boda. Hypocrite kabisa.
Kwani y peke yake mwenye hizoUnafki mkubwa. Wallah ningekuwa msingida wala kura yangu asingepata.Mtu kwake kapark marange halafu anatuona sisi wapumbavu eti anakwenda kuchukua form kwa boda boda. Hypocrite kabisa.
NdioBora angeenda na gari tu make kila mtu anajua ana gari.Na akishapata ubunge ataendelea kutumia bodaboda?.