usafi

The United States Armed Forces Institute (USAFI) was an educational organization that was part of the United States Armed Forces. It was founded in April 1942, as the Army Institute.Between 1942 and 1974, the USAFI provided education opportunities which included the GED, general examinations at the college level and USAFI Courses to service members in the continental United States, Caribbean, Europe, Hawaii and Japan.The headquarters of the USAFI was in Madison, Wisconsin, at 102 North Hamilton Street.

View More On Wikipedia.org
  1. Neverregular

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Usafi, House Boy

    Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
  2. MaylaGladson

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali. Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania wanajua usafi wa mwili na mazingira yao ila wengi ni wachafu na wasio na kinyaa kabisa!

    Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa. Watanzania wengi usafi wanaojua ni ule wa kuoga, kufua, kudeki na kufagia mazingira yanayozunguka nyumba...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila adai Wanajeshi hawajafanya Usafi kwasababu ya Maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema sababu za vyombo vya ulinzi na usalama kutoshiriki kufanya usafi leo kama aliyoeleza awali, imetokana na Jeshi la Polisi kutoa kibali cha maandamano kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Chalamila amesema vyombo hivyo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

    Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Albert Chalamila: Usafi wa Wanajeshi hautoathiri maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo. Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
  8. shamzugi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Tanga kuna uozo mkubwa, Serikali imulikeni

    Kwanza nianze kwa kuwapa salam. Muende moja kwa moja kwenye malalamiko yangu. Ni jumanne ya wiki hii nyumba tunayoishi Mimi pamoja na wapangaji wenzangu tulikatiwa maji kutokana na baadhi yetu kulimbikiza malipo ya Ankara za Kila mwezi. Siku ya jumatano tulifanikiwa kulipa bili pamoja na faini...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hata mkihairisha usafi uko palepale siku hiyo tuungane kusafisha jiji letu

    Sisi wana umoja wa usafi Dar es Salaam naomba tuweke wazi Inasemekana kuna chama kilipanga maandamano kwa bahati mbaya ikagongana na siku ya usafi tunaomba tuwajulishe hata wakihairisha sisi usafi uko pale pale na tunawakaribisha kuwa pamoja usafi n afya Mungu ibariki Tanzania na watu wake
  10. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kushirikiana na Jeshi Kufanya Usafi Tarehe 23 na tarehe 24 Ili kuwela mazingira Safi ya Maandamano

    CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI "Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024

    Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi kufanya usafi ili tukaandamane katika barabara na njia iliyosafi. John Mrema...
  12. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Zingatia umuhimu wa usafi katika maeneo ya vyakula

    Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara. Katika...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi

    CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23. Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi. Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
  14. Kindeena

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona CHADEMA mnalalamikia zoezi la usafi wakati RC Chalamila hajalaumu maandamano yenu?

    CHADEMA kupitia Mwenyekiti Mbowe wametangaza kufanyika maandamano Dar es Salaam, January 24, 2024. Lakini pia RC wa Dar es Salaam Bwana Chalamila Albert ametangaza Majeshi ya Ulinzi na Usalama kufanya usafi mkoani kwake tarehe 23-24 January 2024. CHADEMA kila kona mitandaoni wanamlaumu RC...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Chalamila ameamua kutumia madhabau kutoa kauli ya kuyataka majeshi yafanye usafi 23-24/01/2024?

    Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano...
  16. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Marian Schools huduma ya chakula, usafi ni ovyo sana

    Nimefuatilia kwa muda mrefu ubora wa shule za Marian hasa Marian Girls iliyopo Bagamoyo nikagundua kuwa ubora wao upo kwenye Masomo tu. Kuhusu huduma ya chakula ni duni sana Kulinganisha na Fedha wazazi wanazolipa ni mwendo wa harage mwanzo mwisho, chakula wanachokula hakina tofauti na...
  18. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

    Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea. Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja...
  19. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Usafi huko chini fanyeni lakini msizidi hadi mkaondoa ile harufu ya asili sababu ndio utamu wenyewe huo

    Hii kero nimekua natafuta njia ya kuifikisha kwa pisi husika lakini nashindwa naifikishaje. Unakuta pisi kali na safi lkn papuchi haina ile natural smell hata kidogo, msinielewe vibaya simaanishi 'kitilapia' hapa, namaanisha kale kaarufu fln ambako nadhan ndo wale bacteria wanakatengeneza...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwanini bar nyingi zenye biashara ya kitimoto zina mazingira machafu na allergy ya usafi

    Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu. Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja? Ni hayo tu Wadiz
Back
Top Bottom