usafi

The United States Armed Forces Institute (USAFI) was an educational organization that was part of the United States Armed Forces. It was founded in April 1942, as the Army Institute.Between 1942 and 1974, the USAFI provided education opportunities which included the GED, general examinations at the college level and USAFI Courses to service members in the continental United States, Caribbean, Europe, Hawaii and Japan.The headquarters of the USAFI was in Madison, Wisconsin, at 102 North Hamilton Street.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Chuo cha UDOM uboreshe usafi hasa vyoo vya mabweni, hali si nzuri huko

    Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Hali ya usafi katika chuo hiki ni mbaya sana, hiyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufanya usafi ~Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Natafuta kazi ya usafi katika maeneo ya dar es salaam. IKiwa unafahamu taasisi, kampuni au mtu binafsi anayehitaji mtu binafsi anayehitaji mtu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na ya kuvutia kila wakati, naomba unifikishie taarifa au unijulishe. Nina uzoefu na uwezo wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kamwe usisikilize mziki na kuufia kama huna uhakika na usafi wa wasanii wa muziki huo!

    Wengi mtaona ni ujinga mkubwa huu lakini najua nachoandika hapa. Epuka sana kufia mziki wowote ambao wasanii wake sio watu sawa katika maisha yao kiroho. Haswa mbaya ni kama muziki huo umetungwa na wale waliofanya ushirika na ulimwengu wa giza kupata umaarufu kisanii. Vijana wengi ni misukule...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na kuendesha kampuni ya usafi

    Nitangulize shukrani kwa yeyote atakaechangia mawazo yake. naomba kwa yule mwenye uzoefu na biashara ya kuendesha kampuni ya usafi anisaidie kunipa muongozo wa uendeshaji na changamoto zake. Ahsante
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  6. nipo online

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mtaa imenilima faini ya elf 50, kisa sijafanya usafi

    wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu, tupo hapa manispaa ya nyanda za...
  7. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania USAFI UDUMISHWE KATIKA MABASI

    Mabasi ya safari hasa haya VIP na VVIP (yenye huduma ya choo ndani) usafi udumishe ili kuondoa KERO ya harufu mbaya ndani ya basi.
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

    Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400 Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nafanya Usafi Majumbani

    Habari, Naitwa Sophia naishi Mbezi beach, Natoa huduma ya usafi majumbani, malipo ni maelewano kulingana na umbali na ukubwa wa nyumba, wasiliana nami kwa namba 0793673652. Asante
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wapishi zingatieni usafi mtu mzima kuendesha ni jambo la fedheha

    Wapishi wengi inapokuja ishu ya usafi wanafeli chakula kinapikwa katika mazingira machafu kama una roho nyepesi huwezi kula. How do you feel unamsababishia mtu kuhara kutokana na maandalizi mabovu ya chakula unachotayarisha? Huo ni ushirikina mtu anashindwa kufocus na kujenga taifa anaanza...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hospitali Teule ya Mugana ya mkoani Kagera yaongoza kitaifa kwa usafi katika Hospitali za Wilaya

    Hospitali Teule ya Mugana iliyopo wilayani Misenyi mkoani Kagera imeibuka mshindi katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2024 kwa upande wa hospitali za wilaya. Nafasi ya pili imeshikwa na Hospitali ya Mji wa Njombe (Kibena) huku ya tatu ikikamatwa na Hospitali ya Wilaya...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania MIRADI YA MAJI ARUSHA:Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani

    MIRADI YA MAJI ARUSHA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani. Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 4.3 na utahudumia wakazi wapatao 57,607 wa Kata za Endiamtu na Mirerani zinazounda mji mdogo wa Mirerani na kwa sasa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye jukumu la kuweka jiji la Daresalaam katika hali ya usafi?

    Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo. Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au...
  14. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Afya ifuatilie ubora wa nyama inayouzwa Mitaa ya Mpemba – Tunduma pia wauzaji hawazingatii usafi

    Kero yangu kubwa ni kwa mamlaka inayosimamia huduma za Afya katika Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, kumekuwa na tatizo la wauzaji wa Nyama kuuza nyama zenye mashaka ya ubora na baadhi wanauza zikiwa zimeharibika. Nimefuatilia na kubaini kuwa mara nyingi nyama hizo zimekuwa zikiweka kwenye...
  15. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu. Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Stand ya Gharama ya Nyamhongolo, Mwanza hata usafi wa kuondoa Buibui mmeshindwa???

    Kodi mnakusanya lakini hata usafi wa kuondoa buibui mmeshindwa??
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aongoza wananchi kufanya usafi - Dar es salaam

    Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya usafi wa mazingira

    Kazi ya kusafisha mazingira Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani...
  19. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Usafi wa Choo: Umuhimu wa Kutumia Disinfectant kwa usafi wa choo chako na Madhara ya Kutoitumia

    Choo ni moja ya sehemu muhimu zaidi katika nyumba inayohitaji kusafishwa mara kwa mara. Usafi wa choo unahusisha kuondoa uchafu na vijidudu vinavyoweza kusababisha magonjwa. Kwa kufanya hivyo, tunaweza kudumisha afya njema na mazingira ya kupendeza nyumbani. Umuhimu wa Kutumia Disinfectant...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania NEMC, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa yahamasisha usafi wa mazingira na urejelezaji taka

    Dar: NEMC na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wafanya Usafi Ilala Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa Mazingira lililofanyika katika Wilaya ya Ilala. NEMC imeshiriki zoezi hilo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Back
Top Bottom