upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Barabara ya Kimara mpaka Kibaha itazamwe upya, vifo vya watu kutokana na kugongwa na magari vimekuwa vingi sana

    Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia. Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

    Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima uwezo wa ubongo wa mwanafunzi ivo kupelekea kufeli Pili,Uchache ama ufinyu wa mda, miaka miwili kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Soko la Kariakoo Kuanzia Upya Wake 1900s

    SOKO LA KARIAKOO KUANZIA UPYA WAKE MWANZONI MWA MIAKA YA 1900 Sisi tuliozaliwa miaka ya 1950 tumelikuta Soko la Kariakoo kama linavyoonekana katika picha ya tatu na ya nne. Nikiangalia picha ya mwanzo ya Kariakoo akili yangu inanipeleka katika nyumba ambazo nyingine mimi zinanihusu na nyingine...
  4. JamiiForums Tanzania Daraja la mto Mara (Serengeti NP) liangaliwe upya!

    Kuna daraja lenye urefu wa kama meta 50 hivi ambalo limejengwa ndani yamaji (yaani wamemimina maji yapite juu). Huo mto Mara ni mkubwa sana ambapo ndio watalii hufurika kuona Nyumbu wakivuka (crossing). Changamoto ya daraja ni kuwa , maji yakiongezeka kidogo, daraja huwa halionekani na hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Serekali ya CCM mjitafakari upya, yaani kirahisi tu, kuachana na madai ya matrilion ya pesa mnakimbizana na tozo

    Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza? Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri tufute vyama vya upinzani vilivyopo tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kweli

    Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita. Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja. Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya...
  7. JamiiForums Tanzania Hawajamaliza: Mabando ya data kupanda tena upya, Naibu spika ampa kibarua Nnape kupandisha gharama

    Bado hawajamaliza, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

    Ndugu Rais Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano. Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu ya Kuvunjika EAC-I, Kuundwa Upya EAC-II,"The Coalition of The Willing" Kujimwambafay na Jinsi JK Alivyoiokoa Jumuiya Isivunjike Kwa Kujishusha!

    Wanabodi, Kazi Inaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili ya Leo, 11 September Kwa Maslalahi ya Taifa leo, inaendelea na sehemu ya pili ya Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki na Fursa za Mtangamano. Wiki iliyopita nilianza kwa kuitambulisha Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kusema hii ni Jumuiya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la ajira nchini ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji haya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji...
  12. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshindwa kuziacha beta blocker ila nimefanikiwa kupima tena upya vipimo vya ECHO na ECG

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na ushauri wa doctor kwa kuniambia niache kutumia hizi dawa beta blocker (NEBIVOLOL 5MG TAB), hivyo nikaona sio mbaya kuziacha nikajaribu...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Masanduku 9 kati ya 15 ya Kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya hayana hitilafu

    Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais. Wakati wa kuchapisha, ni masanduku tisa pekee kati ya 15 ya kura yalikuwa yamefunguliwa, kuchunguzwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Police fikirieni upya maamuzi yenu before mkamate mtu

    Jamani sasa kama mmefika huku basi mnataka vijana wote wawe wezi ili ijulikane tu kila kitu atakachofanya ni uharifu. Haya huko pwani kijana wa watu tena msanii katengeneza mfano wa bunduki(matoi) ambayo anatumia kwaajili ya sanaa hajafanya uharifu wowote lakini anaenda jera #je mnadhani...
  15. JamiiForums Tanzania Msako wa mifuko ya Plastiki kuanza upya Dar es salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza operesheni ya kukamata mifuko ya plastic iliyokatazwa huku akiwataka wananchi kujiepusha na matumizi ya mifuko hiyo. RC Makalla ametangaza operesheni hiyo leo Ijumaa Augusti 19, 2022 wakati wa kikao kazi na wazalishaji wa mifuko mbadala...
  16. JamiiForums Tanzania Mo Salah atoa Pounds 3,000,000 za Misri ($156,664) kujenga upya Kanisa lililoungua Giza

    Jamaa kafanya jambo kubwa sana huko kwao. --- Egyptian Liverpool forward Mohamed Salah has donated three million Egyptian pounds ($156,664) to help rebuild a church in Giza where a fire on Sunday killed 41 people and left several others injured. Social media channels in Egypt were full of...
  17. JamiiForums Tanzania Natamani sisi wapenzi wa Pan-Africanism timu yetu iamke upya, na Red Star nayo iamke upya

    Sisi tuliokuwa wapenzi wa Pan-Africanism ndio tuliokimbilia Yanga, baada ya timu yetu kuonyesha kutokuwa na future na mipango madhubuti ya kimichezo. Natamani timu hii ikiwa na pacha wake nyota nyekundu zipate mfadhili wa kuziamsha, maana kama ni mashabiki wanao wa kutosha. Maana waliokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Zaidi ya Shule kumi za msingi za Serikali wilayani Hai ni chakavu, zinatakiwa kubomolewa na kujengwa upya

    Shule nyingi za msingi za serikali zilizopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro majengo yake ni machakavu na hayafai kwa wanafunzi kusomea. Nyingi za shule hizo ni zile zilizojengwa kipindi cha ukoloni na baada ya uhuru lakini hadi sasa majengo yake yako vile vile ni machakavu na hakuna ukarabati...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na hasa Trafiki lifumuliwe na kuundwa upya

    Kwa muda mrefu jeshi la polisi na hasa kitengo cha usalama barabarani limekuwa likilalamikiwa kwa kushamiri kwa vitendo vya rushwa. Si polisi wa vyeo vidogo au vikubwa wote lao moja. Inafahamika jitihada wafanyazo polisi vitengo vingine, ili wapate kupangiwa kitengo hiki cha walamba asali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wameshaanza kupigana vikumbo wakipigania fursa ya kuijenga upya Ukraine baada ya vita: Wanajua pesa ipo-ile iliyozuiwa ya Urusi na Warusi!

    Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya ukraine baada ya vita. Hao ndio mabeberu!! Poland iliyokuwa inajitia kimbelembele imeanza kulalamika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…