Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya.
Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis za maji ni kitu kidogo sana. Anyway ningekua ni mimi ningechukua sampuli za maji na kuzipeleka kwenye...
Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia!
Tutasubiri sana!
Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama!
Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya...
Mamlaka ya usalama na afya katika mazingira ya kazi(OSHA), moja ya majukumu yake ni kutoa mafunzo mbalimbali kwa wafanyakazi mahala pa kazi.
Tatizo ninalo liona ni pale mtu /taasisi inapohitaji mafunzo kwa wafanyakazi wake, unaambiwa jisajiri na kulipia gharama za mafunzo tena sio ndogo kuna...
Waenda kwa miguu jijini Dar es Salaam hudiriki kuvuka njia zenye msongamano wa magari barabarani licha ya kuwepo kwa madaraja yanayopita juu, huku wengi wao wakisema madaraja hayo ni marefu mno kuvuka, utafiti umebaini. Utafiti huo umefanywa na wanasayansi kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji...
Sisi Wakenya tuna uthubutu, tulikusanya wazawa wazalendo wa nchi hii kutokea kwa washika dau wote wanaohusiana na elimu, wakafumua mtaala uliokuwepo na kuunda upya herufi kwa herufi kwa kuzingatia mifumo ya kisasa, mahitaji ya soko la ajira, uzalishaji kwenye uchumi na suala lote la kijamii...
Mama kama unataka kudili na rushwa nchi hii anza na TAKUKURU hii haina kazi zaidi ya kutumia pesa za walipa kodi. Hizo pesa za kuwalipa hawa bora vijana wapewe mitaji tu.
Ni taasisi ambayo haina kazi na ina bajeti kubwa sana, Taasisi yenyewe imejaa wapigaji.
Ukiangalia Habari kila sehemu ni...
Nafikiri sheria tunayotumia kwa sasa ya kuanza safari saa kumi na mbili (06h00) asubuhi ni sheria ya miaka ya nyuma na hivyo inaweza kuboreshwa kwani mambo yamebadilika sana
Fikiria safari za Morogoro to Dar unalazimisha basi liondoke saa 12 asubuhi hivi kweli hicho kipande kina hatari gani...
Kwa muda mrefu sana tumeona Wizara ya mambo ndani ikikumbwa na changamoto nyingi sana. Hasa kwa vyombo vya ulinzi vilivyoko wizarani hapa. Police, magereza, uhamiaji, na fire.
Binafsi nilikuwa naona ili kuweka mambo sawa vyombo hivi vipelekwe Wizara ya Ulinzi ili kuvipa nguvu na kuweka Nidhamu...
Katika hali ya kuonesha jinsi Dunia inavyotumia mbinu za yule shujaa wa Afrika kukabiliana na Maladhi yenye utata yaliyopewa jina la Covid19 nchi ya China imefanikiwa kubaini matunda yenye virus vya korona yaliyokuwa yanaingizwa China kutoka nchi ya Vietnam
Mpaka sasa supermarket kadhaa...
Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
KUMEKUCHA TOT CHAMA CHA MAPINDUZI KUISUKA UPYA ILI IENDANE NA USHINDANI WA KIMUZIKI NCHINI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, Jumatatu 27 Disemba 2021 amefanya ziara fupi Kutembelea na kuzungumza na watumishi wa CCM wa kikundi cha Sanaaa...
Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?!
Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa japo niliumia.
Sasa naishi kisela kijana wa watu mwanzo niliwahi majuku kabla miaka hata 30 nshaoa...
Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is not what you say but how you say it.
Rais Samia hahusiki na sakata la vyama vya siasa kuzuiwa...
Binafsi naonelea ni vizuri zaidi kurekebisha Katiba yetu kuliko kuiandika upya.
Sababu zangu:
1- Katiba ni waraka wa kihistoria hivyo ni vyema baadhi yake kuachwa kama ilivyo itukumbushe tulikotoka.
2- Si Katiba yote ni mbaya, wala si nusu yake. Why re-invent the wheel?
3- Gharama za kuandika...
Kwa maoni yangu operations za kuondoa machinga zimepitiliza japo msingi wake wake ulikuwa mzuri tu kupanga miji visuri.
Hakuna haja ya kuondoa machinga wote mji mzima iliapaswa kuishia maeneno ya katikati tu ya mji. Kwa mfano kwa mwanza sioni ulazima wa kuondoa wamachinga hafi maeneo ya...
Kila ukinunua vocha na kuingiza kwenye simu ili usajili kifurushi unakumbana na tozo/makato ambayo ukija sasa kusajili kifurushi Mtandao unakwambia huna salio la kutosha kusajili kifurushi.
Nafikiri tarrifs za kusajili vifurushi ziangaliwe upya, mfano, vocha ikiwa na thamani ya Tshs.2000...
Hii Toyota Brevis ninayo toka 2013. Machine haina shida wala kipengele chochote. Ila rangi nimeshabandika sana mitaani.
Sasa nataka iwekwe rangi upyaaaaaaa iwe sexy kama imetoka jikoni leo. Ndani kwenye sit na dashboard imeshachakaa,nikipakia demu naanza kujitetea sana.Nataka ing'ae kote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.