upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

    Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara Chanzo: ITV habari Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu. Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

    Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwa upya maana wengi watakosa sifa hiyo. Kwa shule za private inaweza isiwe shida sana, lakini za Kata shida ipo (na si kosa lao, mazingira yao ya kusoma ni shida. Wataachwa nyuma)
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

    Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali. Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo. Chanzo: Swahili times
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Rais Samia kuisuka upya Serikali yake, hujuma zimeanza kuwa za waziwazi

    Leo nimeenda kununua umeme kituo kimoja cha TANESCO. Nikiwa kituoni pale kulikuwa na msururu mrefu sana wa wananchi wakiwa kwenye foleni, akaja mtu ambaye haiba yake inaonyesha ni mtu mwenye uwezo hivi kifedha. Yule bwana akajinadi kuwa ni Muinjilisti, akaanza kuchanganya maneno ya dini na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sifa za kupata mkopo HESLB ziangaliwe upya kabla ya maombi Juni 2021, hasa kigezo cha kuwanyima mkopo waliosoma shule binafsi

    Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki. Au pia uwezo wa biashara yake umekufa kama wakati wa Mwendazake biashara nyingi zilikufa na...
  6. Queen Esther

    JamiiForums Tanzania Ukifiwa na kuolewa upya huvai shela au pete ya marehemu

    Habari wana JF, Leo nimeota ugomvi ukitokea mahali sababu mume amefiwa na mke na kwa mujibu wa dini yake akaoa/anaoa mke mwingine. Hata hivyo mambo sio mepesi ingawa yote yamefanyika kwa MAPENZI YA MUNGU. CHANGAMOTO: - Mume anavaa pete ya mke wa zamani mkono wa kulia na mkono wa kushoto...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie upya sifa za kugombea ubunge

    Habari za leo ndugu zangu, Uzi wangu leo utakua mfupi sana. Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada. Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma. Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four. Ndugu zangu ni ushauri tu. Ninyi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuanza upya siyo vibaya, kwa Wakuu wa Wilaya/Mikoa si Sabaya peke yake, wapo wengi waliovunja haki za binadamu

    Mama kwa heshima na taadhima,kwanza nikushukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya mkuu wa wilaya ya Hai mheshimiwa Sabaya, na kwa kuwa la Sabaya umesema lichunguzwe maoni yangu kuhusu yeye ninayaweka kando. Ila mama nikumbushe kitu kimoja, umefungua mlango ambao haukupaswa kufunguliwa,ila tu kama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini? CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia? Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania TUCTA genge la wanyag'anyi lisilo na msaada kwa watumishi wa wafanyakazi. Linatakiwa kupungwa na kufumuliwa upya.

    Hili shirikisho la vyama vya wafanyakazi hapa nchini Tanzania ni wala michango ya wafanyakazi pasipokuwa na msaada wowote kwa wafanyakazi, kwa ujumla ni wanyag'anyi wasio na msaada kwa wafanyakazi. Kwa zaidi ya miaka sita wafanyakaz wanapigwa sound na viongizi wa nchi huku hali na ughali wa...
  11. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania TRA tafadhali angakieni upya huu utaratibu wa kitambulisho cha machinga

    Mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo,nayajua maumivu tunayo yapitia sisi wajasilia mali wadogo.Natambua uwepo wa wafanya biashara weye mitaji mikubwa ambao wamejigeuza kuwa machinga kwa lengo la kukwepa ulipaji kodi. Hata hivyo wapo wengi ambo ni machinga halisi,pia wapo pia ambao hapo awali...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Katibu Mkuu Kiongozi undeni upya vetting section

    Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye Utumishi wa Umma. Upo uwezekana wapo watu wachache wasio waadilifu wameingizwa jikoni lakini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia itazame upya HESLB na ikiwezekana Wazingue

    Mh. Rais ninakusalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwaufupi ninashauri Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu itazamwe upya. Menejimenti ni mbovu, huduma sio rafiki, wahitaji kama yatima na maskini hawajapewa Mikopo na wengine wameacha vyuo na wakati huo wapo ambao wanamudu kujisomesha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Majambazi wamerudi upya, sasa hivi wananyonga hawaulizi

    Matukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu. Kwa mujibu wa...
  15. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

    Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Esther Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa Wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi Watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu. My take...
Back
Top Bottom