Upinzani mkubwa katika historia ya Urais Tanzania

MakaDik

JF-Expert Member
May 31, 2019
237
133
Upinzani Mkubwa Niliowahi Kushuhudia Kwa Suala La Siasa Hasa Kwa Uchaguzi Wa Rais Tanzania Ulioshirikisha Vyama Vingi, Ni Ule Wa 1995 Kati Ya Mrema Na Mkapa Na Wa Pili Ni Ule Wa 2015 Kati Ya Lowasa Na Magufuli.

Chaguzi Zingine Zote Hazikuwa Na Upinzani Wa Kutisha. Wapo Wengi Wanadai Hata Mwaka Huu Utakuwa Na Upinzani Mkubwa Lakini Binafsi Sijaona Bado Dalili Kama Ilivyokwa Miaka Hiyo. Je Ni Magufuli Na Zitto?

Je Ni Nyalandu, Msigwa Au Lissu Na Magufuli? Nini Dalili Zinazoashiria UPINZANI MKUBWA Mwaka Huu
 
Ata wananchi wote wachague upinzani wabaki askari tu basi ccm itashinda kishindo, ivi kweli kuna mtu anatamaa ya upinzani kushika dola? Mm sina chama lakini Ccm kuacha nchi ni ngumu ata kama upinzani utashinda
 
... kwa kuerejea yaliyotokea Znz 2015 ni mfano wa dhahiri kabisa. Jecha naye kachukua fomu ya urais Zanzibar 2020!
 
Upinzani Mkubwa Niliowahi Kushuhudia Kwa Suala La Siasa Hasa Kwa Uchaguzi Wa Rais Tanzania Ulioshirikisha Vyama Vingi, Ni Ule Wa 1995 Kati Ya Mrema Na Mkapa Na Wa Pili Ni Ule Wa 2015 Kati Ya Lowasa Na Magufuli.

Chaguzi Zingine Zote Hazikuwa Na Upinzani Wa Kutisha. Wapo Wengi Wanadai Hata Mwaka Huu Utakuwa Na Upinzani Mkubwa Lakini Binafsi Sijaona Bado Dalili Kama Ilivyokwa Miaka Hiyo. Je Ni Magufuli Na Zitto?

Je Ni Nyalandu, Msigwa Au Lissu Na Magufuli? Nini Dalili Zinazoashiria UPINZANI MKUBWA Mwaka Huu
Upande wa CCM unamtaja Magufuli, upinzani unababaika unataja wengi. Ebu taja mmoja toka upinzani unayeona anaweza kupambana na Magufuli.
 
Upinzani wenye tija mwaka huu ni wa Urais ndani ya CCM, kati ya Membe na Magufuli.
 
Upinzani Mkubwa Niliowahi Kushuhudia Kwa Suala La Siasa Hasa Kwa Uchaguzi Wa Rais Tanzania Ulioshirikisha Vyama Vingi, Ni Ule Wa 1995 Kati Ya Mrema Na Mkapa Na Wa Pili Ni Ule Wa 2015 Kati Ya Lowasa Na Magufuli.

Chaguzi Zingine Zote Hazikuwa Na Upinzani Wa Kutisha. Wapo Wengi Wanadai Hata Mwaka Huu Utakuwa Na Upinzani Mkubwa Lakini Binafsi Sijaona Bado Dalili Kama Ilivyokwa Miaka Hiyo. Je Ni Magufuli Na Zitto?

Je Ni Nyalandu, Msigwa Au Lissu Na Magufuli? Nini Dalili Zinazoashiria UPINZANI MKUBWA Mwaka Huu
Mwaka huu CCM kama chama ilitakiwa kusambaratika kabisa, na kiukweli CCM haipo kama chama tulicyowahi kukiona kikiwepo miaka yote.

Mwaka huu chama kimeshikiliwa na mtu mmoja, huku wengine wote ndani ya chama wakiwa na hofu kubwa kama mateka.

Mwaka huu uchaguzi ungefanyika, hata kama mazingira kama yale ya 2015, bila ya kutegemea nguvu kubwa ya dola, pangetokea historia mpya kabisa nchini Tanzania. Lakini hili halitatokea, kwa sababu uchaguzi ni kiini macho tu, haupo kiuhalisia.
 
Ni Tz tu maajabu haya, mm nilicheka sana niliposkia jecha kachukua form hahahahha

Natamani Sana Jecha wa Jecha apitishwe kama Mgombea Urahisi wa Zenj...na baada ya Uchaguzi Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi AFUTE MATOKEO NA KUTANGAZA UCHAGUZI MPYA HALAFU Jecha AAMBULIE PATUPU......Itapendeza Sana!
 
Upande wa CCM unamtaja Magufuli, upinzani unababaika unataja wengi. Ebu taja mmoja toka upinzani unayeona anaweza kupambana na Magufuli.

Mboni wako wengi sana na hata Magufuli anawajua vizuri sana. Mwambie Magufuli aruhusu TUME HURU YA UCHAGUZI uone Kama atatoboa!!!!
 
Mboni wako wengi Sana hataal Magufuli anawajua vizuri Sana. Mwambie Magufuli aruhusu TUME HURU YA UCHAGUZI uone Kama atatoboa!!!!
Wengi kivipi? Hata CCM wako wengi ila anatakiwa mmoja tu siyo zaidi kugombea, Sasa taja mmoja wa kupambana na Magufuli.
Unashindwa Nini?
 
Natamani Sana Jecha wa Jecha apitishwe kama Mgombea Urahisi wa Zenj...na baada ya Uchaguzi Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi AFUTE MATOKEO NA KUTANGAZA UCHAGUZI MPYA HALAFU Jecha AAMBULIE PATUPU......Itapendeza Sana!
Hiyo haiwezekani. Kuna kiongozi mmoja wa ccm kule Zanzibar alisema wao nchi hawakuipata kupitia sanduku la kura.

Mpaka hapo unajua hawawezi kuitoa kupitia sanduku la kura.
 
Mboni wako wengi Sana hataal Magufuli anawajua vizuri Sana. Mwambie Magufuli aruhusu TUME HURU YA UCHAGUZI uone Kama atatoboa!!!!
Waliotangaza Nia Upinzani Ni Wengi Ndo Maana Nimetoa Majina Machache Na Hasa Ya Kambi Kuu CHADEMA. Hofu Yangu Ni Kwamba Baada Ya Uteuzi Wa Jina Moja Waloshindwa Hawatatengeneza Upinzani Wa Ndani Utakaoruhusu Upande Wa Pili Kutoboa? Najua Ccm Wao Kwa Taratibu Zao Ambazo Sijui Kama Ni Rasmi Sana Magu Hana Mshindani Na Hata Ukitokea Upinzani Wa Ndani Basi Utakuwa Kifichoni Tena Kwa Hofu.
 
Back
Top Bottom