upinzani

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe maalumu kwa vyama makini vya Upinzani hasa ACTWazalendo na CHADEMA kuelekea Oktoba, 2020

    Mada inahusika. Napenda kuwapa ujumbe huu maalum kwenu mkiona inafaa kuuzingatia kuelekea uchaguzi wa Oktoba, 2020. i. Senario za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na kilichotokea , ziwape mbinu mia moja zaidi mbele kuhakikisha mnakwepa mitego yote ya CCM, NEC, ZEC na mawakala wao ndani na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

    Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni upinzani wa Tanzania kuchukua Nchi Oktoba 2020

    Ndugu zangu mpaka kufikia sasa, bado sioni kama upinzani wa Tanzania uko na energy ya kuweza kuchukua na kuendesha dola Oktoba 2020. Sababu ni nyingi, ukiacha nguvu ya CCM kwa sasa, upinzani huu haujajipanga. Najaribu kuangalia hoja ya ushirikiano iliyoletwa na Maalim Seif kwenye mkutano mkuu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kwanini upinzani utashindwa vibaya na CCM Itashinda kwa kishindo?

    Awali ya yote, napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza ndugu Bernard Camilius Membe na ndugu wakili msomi Tundu Antipas Lissu kwa kuaminiwa na kuteuliwa kupeperusha bendera za vyama vyao katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, 2020. Ni rasmi sasa watachuana...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Hesabu zinambeba Membe awe mgombea pekee kwa tiketi ya Upinzani

    Kwenye uchaguzi wa 2020 Ni vigumu kusema CCM itashindwa na chama cha upinzani, lakini Vyama vya upinzani vinaweza kupata viti vingi vya ubunge na udiwani kama watamwachia Mh. Membe awe mgombea pekee kwa niaba ya vyama vya upinzani kuliko wakimsimamisha mgombea mwingine akiwemo mh. Lissu. Baba...
  6. N

    JamiiForums Tanzania 2020 Lazima Nipige Kura Upinzani

    Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu. Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao. Naandika huu uzi...
  7. JamiiForums Tanzania Kuzuia Serikali isinunue Ndege kwawaponza upinzani kupata misaada toka nje

    Mataifa ya nje ukiharibu biashara zao wanakuwekea vikwazo na kukunyima misaada Safari mataifa ya ulaya na Marekani wamegoma kutoa misaada ya Hali na Mali kea vyama vya upinzani Tanzania Baada ya wao kupinga bungeni na nje ya bunge kuwa serikali isinunue Ndege za bombarier na Boeing Sasa hivi...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ili kushinda uchaguzi, upinzani unatakiwa kutumia akili ya ziada

    Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mgumu sana kwa pande zote mbili, CCM na upinzani, kwa CCM ni uchaguzi wa kufa na kupona, CCM itatumia mbinu zote halali na haramu kuhalalisha ushindi, ikiona inaelekea kushindwa kwa njia halali ya sanduku la kura itatumia mbinu mbadala hata kwa kufuta matokeo kama...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ni mwarobaini wa Upinzani kumng'oa Magufuli

    Chadema kama cha Kikuu cha Upinzania Tanzania kimeiva na kiko tayari kuongoza nchi, Umma kwa asasa unakiamini, na hata wafanyamaamuzi kwa sasa wanakiamini chama hiki. Kisiasa Chama cha siasa katika Uchsguzi hutembea katika madaraja makuu MATANO hadi kufikia kushika madaraka ya nchi (Kushika...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kulaumu tujiulize Je, wabunge wa upinzani wanatekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM?

    Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM? Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo? Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo. Nawatakia Eid Mubarak...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

    Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja. Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni". Kwa kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwakyembe aja na sheria mpya za mitandao kuelekea uchaguzi mkuu, wengi zitawafunga hasa upinzani na wenye mlengo tofauti na Serikali

  13. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais, tuombe sheria ya kodi ibadilishwe, majimbo yote ya upinzani Serikali ya CCM isikusanye kodi hata senti huko

    Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
  14. JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nakubaliana na Rais Magufuli kwamba Wagombea Urais kupitia Vyama vya Upinzani wamuunge mkono ili kuokoa fedha za walipakodi

    Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi. Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Hashim Rungwe Spunda atia nia ya kugombea Urais, asema Sera yake ya kuimarisha lishe bora kwa Watanzania ipo pale pale

    Hashim Rungwe Spunda ametia nia kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba kwa tiketi ya CHAUMA Amesema, "Sera yangu ya kuimarisha lishe kwa watanzania bado iko palepale. Nitahakikisha Mtanzania anakuwa na uwezo wa kula kuku mzima na wanafunzi wale ubwabwa mara kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

    Wanaukumbi. Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli. Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani acha kutuwekea usiku

    Kubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo. Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi. Msionyeshe uwepo wenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…