Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,425
CCM jiandaemi kuwa Chama cha Upinzani, muone raha ya kugaiwa ruzuku na Serikali iliyo madarakani.
Kwa kuheshimu katiba ya nchi sidhani kama mtazuiliwa kufanya siasa lakini mjiandae vyombo vya dola kuwaona kama raia wa kawaida.
Msione ajabu nusu ya wasanii kuunga mkono upinzani kwani hatimae watakua na uhuru wa kuchagua.
Upinzani unaheshimu taaluma, ajira zitatolewa kwa wenye sifa. Si tu kwa wanachama wa CCM.
Maendeleo yatawafikia Watanzania wote si tu waliochagua CCM.
Muda mtakaoutumia kuwa chama cha upinzani, mtajipanga upya ili mrudi madarakani mkiwa mmejinoa upya.