Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Balozi huyo ameandika:

Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.

C7DAA646-79CC-446E-AD23-391816527C7F.jpeg
 
Muulizeni Guantanamo washaifunga au bado ipo? Akijibu hilo mlilete hapa.
Balozi huyo ameandika:

Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.
 
Hivi

huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Hata Balozi wa China nae alitoa matamko kila anapoona dalili za chama tawala kukwama. Nilichobaini ni kila chama kina nchi ngeni inaewaunga mkono
 
Kwa mara ya kwanza katika historia ya USA vimeanzishwa vikundi vya wanamgambo wenye silaha nzito eti wanapigania ukombozi...mtaani raia wananunua bunduki kwa fujo kujihami na mashambulizi ya wanamgambo!

Mhesimiwa Balozi achana na huku kwetu maana tunajua jinsi ya kuwadhibiti hawa wahuni, eti wanataka kuchoma vituo vya mafuta...badala yake waombee wamarekani wenzio kwenye uchaguzi wenu unaokuja!

Balozi huyo ameandika:

Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.

View attachment 1617807
Fake account
 
Back
Top Bottom