Mali za viongozi wa kisiasa wakiwemo wa Upinzani zinapaswa kutangazwa hadharani badala ya kufanywa SIRI!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,832
Wananchi wana haki na wajibu wa kujua ukwasi walionao viongozi wao wa kisiasa iwe wa chama tawala au upinzani.

Hivyo ni vema ungewekwa utaratibu wa mali za mbunge kwa mfano zikatangazwa kwenye ubao wa matangazo wa Jimbo.

Nawatakia Christmas yenye baraka!
 
Acha kuwa mawazo ya kimasikini kama huyo babu yako.UZALENDO SIO UMASIKINI
 
Wananchi wana haki na wajibu wa kujua ukwasi walionao viongozi wao wa kisiasa iwe wa chama tawala au upinzani.

Hivyo ni vema ungewekwa utaratibu wa mali za mbunge kwa mfano zikatangazwa kwenye ubao wa matangazo wa Jimbo.

Nawatakia Christmas yenye baraka!

Niliposikia rais anasema hilo jambo liwe siri, nimezidi kupata shaka sana na uadilifu wake.
 
Wananchi wana haki na wajibu wa kujua ukwasi walionao viongozi wao wa kisiasa iwe wa chama tawala au upinzani.

Hivyo ni vema ungewekwa utaratibu wa mali za mbunge kwa mfano zikatangazwa kwenye ubao wa matangazo wa Jimbo.

Nawatakia Christmas yenye baraka!

Hawawezi kukubali kwenye chama chenu!! Huko kwenu Bwashee kuna mabilionea wa kutisha!!
 
Wananchi wana haki na wajibu wa kujua ukwasi walionao viongozi wao wa kisiasa iwe wa chama tawala au upinzani.

Hivyo ni vema ungewekwa utaratibu wa mali za mbunge kwa mfano zikatangazwa kwenye ubao wa matangazo wa Jimbo.

Nawatakia Christmas yenye baraka!
Raisi MAGUFULI ana miliki magorofa mawili area d dodoma aliyanunua alipokiwa wazir nyumba hizo zilikuwa Mali ya shirikan la bima na alinunua shilingi laki 6 kila moja . Unajua hivyo???
 
Wananchi wana haki na wajibu wa kujua ukwasi walionao viongozi wao wa kisiasa iwe wa chama tawala au upinzani.

Hivyo ni vema ungewekwa utaratibu wa mali za mbunge kwa mfano zikatangazwa kwenye ubao wa matangazo wa Jimbo.

Nawatakia Christmas yenye baraka!
 
Sasa yule Bwana aliyeingia masikini leo ni wa 17 afrika kwa kuwa na pesa ndefu baada ya kukwapua pesa zetu nae zitangazwe ?
 
Back
Top Bottom