kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 139
- 243
Wakuu, husika na mada tajwa hapo juu, naomba mnisikilize kidogo.
Nimehitimu masomo yangu mwaka 2024 katika fani ya IT in Business. Baada ya hapo nilipata nafasi ya kufanya kazi katika kampuni moja iliyopo Posta, ambapo nafanya kazi kama Consultant pamoja na Data Analyst. Pia ninashiriki kufundisha kozi mbalimbali za IT na Biashara.
Mwezi uliopita (Februari 2026), nilipata fursa ya kutumwa kutoa mafunzo katika kampuni ya ACCESS WORLD iliyopo Bandari Kavu ya BRAVO, karibu na chuo cha NIT. Mafunzo hayo yalidumu kwa muda wa wiki 3.
Katika training hiyo, nilifundisha Advanced Excel, nikigusa maeneo muhimu kama:
Kilichonivutia zaidi ni kwamba nilikuwa nafanya kazi na watu wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kazini, wakiwemo Heads of Departments pamoja na wafanyakazi wengine.
Katika wiki ya kwanza, nilijikita kuelewa kiwango chao cha uelewa, ndipo nikagundua changamoto kubwa ilikuwa ni ukosefu wa analytical skills na matumizi ya muda mwingi kufanya kazi zinazoweza ku-automate.
Lakini mwisho wa mafunzo, mabadiliko yalikuwa makubwa sana. Walifurahia sana na walishangaa ni kwa muda gani walikuwa wanapoteza wakifanya kazi kwa njia ngumu badala ya kutumia njia rahisi na za kisasa.
Ujumbe wangu ni huu:
Inawezekana kabisa kuwa na wafanyakazi wanaojitahidi lakini wanachelewa kuwasilisha ripoti si kwa uzembe, bali kwa kukosa mafunzo ya juu (advanced skills), hasa kwenye automation na uchambuzi wa data.
Nipo tayari kusaidia:
📍 Nipo Dar es Salaam
📞 Mawasiliano: 0620224372 (WhatsApp & Calls)
Karibu tufanye kazi pamoja kuboresha ufanisi wa kazi kwa kutumia teknolojia.

- Report Automation
- Data Cleaning Automation
- Misingi ya Data Analytics

- Kutoa mafunzo kwa kampuni au taasisi
- Kusaidia kuboresha mifumo ya kazi (automation)
- Au kuajiriwa kama Data Analyst / IT Consultant