majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 1,715
- 1,973
Vijana,wazee
Kunawakati inabidi kujitafakari kwanza na kujiuliza kuwa ninachokifanya ni sahihi
Yaan unajipa umuhimu Kwa mtu ambaye hajui thaman ya nafasi Yako
Kiufupi tuache kujiingiza kweny kusqidia watu ambao hajatuomba msaada,shida,tatizo n.k
Sababu tunahaibishwa Kwa kuzalauliwa mnoo Kisha tunaonekana tunajipendekeza Kwao wakihisi tunawahitaji sana kweny maisha yetu kuliko kawaida
Kiufupi tuache kujipendekeza maeneo ama Kwa watu wasio tuhitaji
Yangu ni hayo
Wabadu ukatabaduh fakiri