Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi.
Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao,
Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa zaidi kwenye maendeleo ya Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar,
hali hii inafanya mikoa mingine kuonekana kama mbwa wa mawindo, thamani yake ipo kwenye kuwinda tu, baada ya mawindo anarushiwa mifupa.
Wananchi hawahitaji huruma, wanahitaji usawa. Kama wanachangia kwa nguvu zote kwenye uchumi wa nchi, basi ni haki yao kuona maendeleo yakirejea kwao pia. Taifa lenye usawa haliwezi kujengwa kwa kuacha baadhi ya maeneo kuwa vyanzo vya mapato pekee bila kunufaika na matunda ya jasho lao.