umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya AI katika mifumo ya ulinzi yanaweza kuongeza kwa kiwango kikubwa uwezo wa kugundua vitisho

    Jeshi Letu la JWTZ Linatumia Teknolojia ya AI Kuboresha Ufanisi Kwenye Ulinzi? Katika mifumo ya ulinzi ya jadi inayotumia rada za kawaida, changamoto kubwa imekuwa uwezo mdogo wa kuchambua taarifa kwa haraka na kwa kina. Rada za zamani zinaweza kugundua kitu angani au baharini, lakini mara...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ya Mwigulu Nchemba kupambana na Simba na chui na kuwashinda ilikuwa na umuhimu gani kuyasema? Hakuna anayetaka kumdhuru. Ni yeye tu!

    Mwigulu Madelu Lameck Nchemba kama waziri mkuu ingawa hawakushinda ubunge wala urais, anatakiwa awe makini na anachosema vinginevyo haya mambo yatamharibia na siku moja atajikuta katika hatari kubwa ambao hataweza kutoka hapo. Mwigulu alitoa idadi kubwa ya gas station zilizoharibiwa kama 600...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupeana tendo la ndoa

    Kisaikolojia, mwanaume ambaye hapati tendo la ndoa anaweza kuwa na changamoto kadhaa zinazohusiana na akili na hisia, ingawa kila mtu ni tofauti. Sababu kuu ni za kisaikolojia ni: 1. Shinikizo la akili na stress • Stress ya kazi, shule, au maisha ya kila siku inaweza kuathiri uwezo wa mwanaume...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ni ishara mojawapo ya dini kutokuwa na umuhimu au maana kwa binadamu.

    Mfano Wanasiasa wa Tanzania wanaongoza kumtaja mungu na kumuhusisha katika harakati zao za kisiasa ila ni waongo, wadhulumaji wa haki, wala rushwa na mafisadi kuliko. Fikiria watu wanajua kabisa wameingia madarakani kwa kupitia uporaji uchaguzi, kuumiza na kuua wengine ila kauli ya kwanza...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Senegal wametukumbusha umuhimu wa haki dhidi ya amani.

    Siku zote haki imekuwa ikitajwa kuwa inatafutwa, inapiganiwa. Huwezi kuletewa kwenye sahani. Kitendo cha kupinga dhulma, hatimae kikaleta maridhiano. Na mechi ikaendelea. Wameacha funzo kubwa hasa katika medani za siasa, maalum kwa Tanzania ambao tunapiga kelele za amani bila kujali haki...
  6. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa wanaume kujipenda na kuwa wasafi

    my people, Katika maisha ya kila siku, mwanaume mara nyingi hupimwa kwa nguvu, kazi, au uwezo wa kuwajibika. Lakini kuna kipimo kingine cha msingi ambacho mara nyingi hupuuzwa: usafi na kujipenda. Hivi viwili si anasa wala mapambo ya juu juu, bali ni mizizi ya afya njema, heshima binafsi, na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Miaka inaenda na ninazidi kuona umuhimu wa kuwa na ndugu, nimebaki na marafiki wachache sana watu waliobaki ni ndugu

    Zamani nilikuwa na marafiki wengi, lakini kwa sasa nina rafiki mmoja wa karibu sana. Wengine waliopo ni watu wa kushirikiana nao kazini au mtaani, ni mahusiano ya kijamii yanayosaidia kubadilishana mawazo na kuondoa upweke, lakini si ya kina sana. Katika maisha yangu ya zaidi ya miaka 30...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  9. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Live zinazofuata tuweke watu wa kututafutia fursa za masoko nje, na sisi watz tuungane kwenye kilimo, wasikae tu nje bila umuhimu wowote

    Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote kwenye izo live, kama ni masoko ya vyakula uku mashamba yapo ya kutosha mpaka yanamwagika, kama ni ajira...
  10. Rev. Kishoka

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
  11. O

    JamiiForums Tanzania KERO Kwani mitandao ya simu inalazimisha wateja wao wanunue router ili kupata unlimited internet?

    UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited? Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu? Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa MTU mmoja anayetaka unlimited BILA router ? Ishakuwa fashion kutembea na mizigo mingi bag Lina...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Nyerere na umuhimu wa kuwa na watu “Radicals” ndani ya Afrika

    Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanganyika (ambaye Ukumbi alioufanyia mkutano jana Samia S. Hassan, Rais wa sita) alionya kuwa huwezi kuijenga Afrika kwa kuzuia uamsho wake. Vizazi vipya vitataka mabadiliko kwa sauti, kwa ujasiri, na bila kuomba ruhusa. Wananchi wanaposimama, si...
  13. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania KUNA UMUHIMU WOWOTE KWA RAIA KUWAPENDA AU KUWA HESHIMU JWTZ?

    Jambo baya linalo endelea mtaani ni kwamba wananchi wana lidharau sana Jeshi lao kwa sasa Jeshi linaonekana kamq wasaliti wasio na msimamo kama walivyo paswa kuwa .. Raia kwa miaka mingi wana chukulia jeshi ni mkombozi wa wanachi hasa kukiwa na udharimu unafanywa na serikali pamoja na polisi...
  14. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Mawasiliano Wakati wa Mizozo ya Kitaifa

    GTs, Katika siku za karibuni tumeshuhudia kuzimwa kwa huduma za mtandao na vizuizi katika majukwaa ya kijamii nchini. Hatua kama hizi, ambazo mara nyingi hutolewa kama “za kiusalama,” zimeleta maswali mazito kutoka kwa wananchi kuhusu uwazi, usimamizi wa taarifa, na haki ya kupata habari...
  15. complex31

    JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kulipa kodi kwa wafanya biashara

    Habari, Naandika haya kutokana na mwenendo mbaya wa serikali ya Tanzania kukataa ama kugomea kusikiliza nini haswa walipa kodi wake nini hasa wanataka Kama walipa kodi ndio waendesha nchi walipa mishahara ya wabunge, mawaziri, samia pamoja na polisi ni kwanini serikali hii ikatae kusikiliza...
  16. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna Umuhimu wa Viongozi wa Juu wa Kisiasa Kuangaliwa Afya ya Akili?

    Afya ya Akili inahusu hali ya mtu kiakili na kihisia, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kufikiri, kujieleza, kudhibiti hisia, na kujihusisha na watu wengine katika njia za afya. Ni hali ambapo mtu ana uwezo wa kukabiliana na changamoto za kila siku, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi ya busara...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu

    Waandishi wa Habari mlikuja kulalamika kwamba wananchi wanawashambuli kuhusu kukaa kimya, baada ya statement hii ya semaji Gerson Msigwa mna lipi la kusema? ==== Kuhusu vyombo vya habari vya Tanzania, Msigwa ameanza kuvipongeza kutokana na kazi nzuri wanayofanya kwa weledi na umakini mkubwa na...
  18. mshale21

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini jumuiya ya madola ione umuhimu wa maridhiano baada ya uchaguzi? Kwanini hawakushinikiza maridhiano kabla ya uchaguzi?

    Kwa wenye akili timamu, hapa hakuna maridhiano Ikiwa viongozi wa dini mbalimbali, mzee warioba na wadau mbalimbali walisisitiza kuwepo na maridhiano kabla ya uchaguzi na hawakusikilizwa, ni kwanini jumuiya ya madora haikuona umuhimu wa kushinikiza maridhiano kabla ya uchaguzi na badala yake...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Huyu shahidi wa tatu wa Jamhuri ana umuhimu gani katika hii kesi ya uhaini dhidi ya Lissu?

    Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video. Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini. Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
  20. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati wa kuomba kura hatusikii ziara za Norway Sweden USA Je, hazina umuhimu kwa nchi wakati huu?

    Kama zile ziara za kutwa mara mbili kwa wiki kama dozi zilikuwa na umuhimu, Kwanini zisimame wakati huu? Ina maana si muhimu kwa sasa?
Back
Top Bottom