umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. To yeye

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

    Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini wasione umuhimu sasa wa kuwahubiri viumbe wengine ili nao waende mbinguni?

    Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni. Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk? Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Unapotaka kuhamia sehemu au kununua makazi, kuna umuhimu wa kuangalia aina ya majirani?

    Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status?? I'm just asking.
  4. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Makonda hapa Arusha anajipa umuhimu usio wake, wajanja walio wengi tunamuona zero brain

    Wajinga ukiwauliza watakuambia eti Makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo. Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Nyasa awataka Wananchi kutambua umuhimu wa Lishe Bora, asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi kutambua umuhimu wa lishe Bora kwa afya ya mwili wa binadamu kwani ni Msingi wa mambo mengi ikiwemo kufanyakazi na kufikiri sawasawa. Mhe.Magiri ameyasema hayo wakati wa kikao cha tathimini ya lishe kilichofanyika mwanzoni mwa juma...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

    Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe?? Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mechi ya Leo na Umuhimu wake kama ningekuwa Kocha Watanzania mngenisamehe kwani Kikosi changu kingejaa wa Yanga, Simba na Azam tu

    Tusidanganyane na tusiwe Wanafiki wachezaji wenye Kucheza hizi Mechi za AFCON kiushindani ni wa Yanga, Simba na Azam tu pekee na kwa hao wengine tunabahatisha tu. Mpira wa sasa unahitaji Exposure hivi Wachezaji wa KMC FC sijui Mashujaa sijui Coastal Union SC na timu nyinginezo wana hiyo...
  8. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuifufua new Young

    Kwa mwenendo na mstakabali wa timu zetu za kariakoo (Msimbazi na Jangwani) na kumbato lao la kisiasa basi hatuna budi kuifufua New Young Ili kuwa kimichezo zaidi na kuweka kando siasa. Watoto wa Mtaa jangwani Wenyewe wamebobea kuipa mbeleko CC ni CC. Watoto wa Msimbazi Wenyewe wamebobea kwenye...
  9. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kama yupo anayejua sababu kwanini bado upo umuhimu wa kuwepo TAKUKURU aziweke hapa

    Hali ya kisiasa miaka hii ni ya utata sana, matumizi ya pesa kutoka kwa viongozi ni kufuru, siku hizi tunapewa majiko ya gesi bure bila kuomba, tunapewa matukutuku bure, mabaisikeli bure bila kuomba! Na maokoto bure japo tunaitwa chawa wakati sisi si wachafu huku wansotubeba ndio wachafu! Yote...
  10. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu au faida kufahamu mahali wanaishi watumishi/watendaji wa serikali kama mahakimu, majaji, askari magereza na mapolisi kwa wema tu?

    Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa. Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
  11. VERIFY

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wowote wakujua body count ya mpenzi wako?

    Kwenye mahusiano mengi wapenzi hua wanatamani kujua body count zao, sasa nilikua naulza je ni sawa ?? Kwa sababu mimi sioni umuhimu wa mpenzi wangu kujua body count yangu kwasababu haina msaada kwake na spendelei kabsa maswali ya mtindo huu
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kutunza kumbukumbu za Kifamilia na kuziweka katika maandishi kuwa documented n.k

    Wakati nasoma historia ya ukoo wetu kuanzia mwaka 1890s mpaka 2025. Nimepata mambo yafuatayo Kila MTU aliyejaribu kuvuta Bangi alichanganikiwa na kupoteza mwelekeo. Hii ni historia ambayo nimeifanyia research . Nimeandaa Family Tree kwa kuangalia mambo mengi kuhusu Changamoto za ukoo Kama...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukubwa na umuhimu wa ccm katika kuiongoza nchi wajidhihirisha wazi kwa umma wa waTanzania

    Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
  14. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dira ya 2050: Rostam Azizi asisitiza umuhimu wa amani na utulivu kuwa ndiyo msingi wa maendeleo

    Team Kanukuu mambo mengi Amani ya nchi Usalama wa nchi Kuwekeza ktk raslimali watu Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini Utulivu wa kisiasa Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje Kasema...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu umuhimu wa kutokunyoa nywele za kwapani na zinazozunguka eneo la haja kubwa

    Mungu siyo taahira kuumba nywele katika maeneo zinapopatikana. Ameziweka kwa kazi maalumu ktk kila eneo. Nywele za kwapani na katikati ya makalio kazi yake ni kupunguza joto na jasho ili kuepusha fangasi kujenga kambi maeneo hayo. Unapozinyoa unasababisha makalio na vikwapa kujifunika kabisa...
  16. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo Vikuu: Fahamuni Umuhimu wa Psychographic Segmentation Katika Ulimwengu wa Kisasa wa Marketing

    Wanafunzi wa marketing na biashara kwa ujumla, ni muhimu sasa kuelewa kuwa soko la leo haligawanywi tu kwa kipato (income), jinsia (gender), au umri (age). Dunia ya kisasa imeingia kwenye hatua ya deep consumer understanding ambapo psychographic segmentation ndiyo silaha kuu ya makampuni...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu Mkubwa wa kuwa na ndoto kubwa sana

    Ni nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
  18. I

    JamiiForums Tanzania FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO?

    FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO? 🔎 1. IP Address ni Nini? IP (Internet Protocol) Address ni anwani ya kipekee ya nambari inayotambulisha kifaa chako kwenye mtandao—iwe ni simu, kompyuta, TV ya kisasa, au printer. Ni sawa na anuani ya nyumba: bila hiyo...
  19. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Tabia za baadhi ya wanawake kutaka wapewe pesa na zawadi zinawafanya wanaume weengi kuamini kuwa tendo la ndoa halina umuhimu kwa mwanamke

    Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe. Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani. Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani. Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
  20. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuanza uwekezaji mapema!

    Miaka miwili iliyopita, nilimshauri rafiki yangu kuwekeza kwa kununua hisa za CRDB zikiwa Tsh 400 kwa kila hisa. Leo, tumekutana tena, na akaniuliza, “Sasa hivi zimefikia shingapi?” Nikamtazama, nikatabasamu kisha nikamwambia, “Tsh 800 kwa hisa, sawa na ongezeko la 100%... na hapo hujaweka...
Back
Top Bottom