umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Shida ya Marefa wetu ni Umri, Elimu, Weledi au ushabiki??

    Ukiondoa kiwango cha juu cha ushabiki wa mpira tulichonacho kuliko uhalisia wa timu tunazozishabikia, uduni wa wachezaji wetu, lakini pia Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inaharibiwa kwa asilimia sitini (60%) na uchezeshaji wa marefa wa mchezo huo. Ligi yetu inaharibiwa sana na marefa wetu...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Ufahamu Ugonjwa wa Polio

    Unasababishwa na Kirusi cha Polio kinachoambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mwingine kwa kunywa/kula chakula au kinywaji kilichochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya Ugonjwa. Virusi huzaliana katika utumbo na huweza kuathiri mfumo wa fahamu ikiwa ni pamoja na viungo kupooza...
  3. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Beyoncé anatimiza umri wa miaka 41 leo

    Beyoncé, ambaye alizaliwa mnamo Septemba 4, 1981, alipata umaarufu akiwa member wa Destiny's Child (hapo awali kilijulikana kama Girl's Tyme), moja ya bendi kubwa zaidi za wasichana katika historia ya muziki. Baada ya kuachana na Destiny’s Child, alianza kazi kama msanii mmoja akiongeza mauzo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

    Nilikutana na huyu binti mwaka jana akiwa mmbichi kabisa, kutokana na muonekano wangu hakuwahi kuniuliza umri. ila nimempita miaka 15. Kuna siku akanipa simu niongee na mama yake, mama mtu akaanza kuniuliza maswali mengi sana nikayapangua, alivyouliza umri nikapunguza miaka kumi. Sasa naona...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Simbachawene unaeleweka ukiwa ni mtu wa umri fulani

    Jana niliwasikiliza mawaziri wakiitetea serikali ambaye ni mwajiri wao katika hili suala zima la tozo zinazotesa wananchi. Sikutegemea kipya kusema ukweli kutoka kwa Dr Mwigulu Nchemba zaidi ya kujenga hoja nyingi za aina ya maisha aliyokulia, anajiweka mbali na dhana ya utajiri unaosemekana...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye umri mkubwa zaidi duniani amefariki akiwaacha mapacha wake wa miaka 3 wakiwa yatima

    Maria alifanya utaratibu wa kupandikiza mbegu ili apate watoto (IVF) akiwa na umri wa miaka 67. Aliingia kwenye kitabu cha Guineas Book of Records kwa kuwa mama aliyepata watoto akiwa na umri mkubwa zaidi. Maria alipunguza umri wake kwa miaka 12 wakati akipata matibabu yake. Madaktari...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 37 atumia kidole kimoja kujenga maisha ya furaha

    Julai Mosi 2022, katika Kijiji cha Desheng, Mkoani Shaanxi China, Bibi Zou Wenling mwenye umri wa miaka 37 aliyepoteza vidole tisa alipokuwa na umri wa mwaka mmoja anatumia kidole kimoja kudarizi, kulima na kufuga kuku akiwa na tabasamu kukabiliana na maisha magumu.
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi fanya yafuatayo mtoto akishakuwa mtu mzima tujenge familia bora

    Wengi tumezaliwa katika mazingira flani ambayo mzazi sio mtu wa karibu saaana zaidi ya kuheshimiana Kama baba na mtoto tu. Nilipokuwa nasoma nilipanga nje na rafiki yangu mmoja yeye alikua anampigia simu mzee wake wanaongea masaa hata matatu hadi manne, Mimi inaweza pita miezi hata 3 au 4 bila...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa

    Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa kutoka mimba hadi umri wa miaka miwili. Hakuna nyara katika kufanya hivyo kwa wazazi, lakini athari zake ni za thamani. Tena, kwa sababu wewe si mzazi huyo au ulilelewa kizembe katika utoto wako, haimaanishi kwamba...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wetu mbona hamfungi Ndoa za umri mdogo kama zamani mfano Rais wa Kenya Ruto na Mkewe Recho?

    Habari wadau. Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO. Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba wake baada tu ya kumaliza chuo. Alifunga ndoa huku yeye Ruto akiwa na umri miaka 23 na mkewe Recho...
  11. Ndondocha mkuu

    JamiiForums Tanzania Soma upate mawili matatu: Kwa umri huu, haya nambo yafuatayo Nimeyashuhudia na kuyapitia

    Wakuu habari za majukumu mbalimbali ya ujenzi wa Taifa. Ni miezi kadhaa sijaleta thread hapa, tangu nilete ile thread ya jinsi nilivyopoteza 1.8M ndani ya siku chache. Leo nimekuja tushare mambo mbalimbali ambayo nimeyapitia na nimeyaona hadi umr huu, yanaweza kukufundisha au kukupa exposure...
  12. Nick J Vuitton

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika Moshi

    Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja. Location Moshi Njia Panda. Kwa wahitaji piga 0685940663
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wasiokula nyama wako hatarini kuvunjika mifupa kadiri umri unavyoendelea

    Tafiti iliyofanyika Uingereza ilijumlisha watu 26,000 wenye umri kati ya miaka 26-60. Imeonyesha kuwa ulaji wa nyama unatoa virutubisho vinavyosaidia mwili kuimarisha mifupa. Idadi kubwa ya wanaofanyiwa upasuaji kwa matatizo ya mifupa hasa ya nyonga ni wanawake na wengi ni wale walioacha au...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi mila zilizopitwa na wakati zinavyochangia tatizo la ndoa katika umri mdogo na ukeketaji katika mkoa wa Mara

    Picha kwa hisani ya Haki Elimu 1. UTANGULIZI Elimu ni moja ya sekta za kipaumbele zilizoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, na katika Sera ya Mafunzo ya Elimu (ETP, 2014) ambayo Serikali imejitolea kutoa miaka 11 ya elimumsingi bila malipo kwa wote kuanzia elimu ya awali hadi...
  15. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

    Mungu wasamehe wanawake wote kiukweli sio akili zao…..wanateswa na mapepo makali sana
  16. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Eduardo Camavinga alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 11

    Kulikuwa na uvumi kuwa kiungo wa Real Madrid, Eduardo Bamavinga ana umri wa miaka 19 na mwanaye ana miaka 8. Hali inayooonesha kuwa alimpata mtoto huyo akiwa na miaka 11. Picha1: Camavinga akiwa na mtoto aliyehisiwa ni mwanaye Picha2: Camavinga akiwa na wazazi wake na ndugu zake
  17. mawaridi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump afariki dunia nchini Marekani

    Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump amefariki dunia nyumbani kwake huko New York City Ivana alikuwa ni mke wa kwanza wa Donald Trump, amefariki akiwa na umri wa miaka 73 Marehemu alizaa watoto watatu na Donald Trump, watoto hao ni Donald Jr, Ivanka na Eric Taarifa za kifo chake...
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

    Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wachezaji 44 nchini Cameroon kuchunguzwa kwa kughushi umri au utambulisho

    Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao. Iwapo watapatikana na hatia katika uchunguzi wa ana kwa ana unaofanyika Julai 4-8 ambapo wametakiwa kuambatana na marais wa vilabu...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sir Cliff Richard mwenye umri wa miaka 82 akiwa Wimbledon

    Sir Cliff Richard ni mwimbaji na ana uraia wa nchi mbili, Uingereza na Barbados. Alizaliwa mwaka 1940. Amedumu katika Ulimwengu wa muziki kwa miaka 60. Richard hajawahi kuoa au kuwa na familia ingawa alishapitia kwenye mahusiano na wanawake tofauti. Katika umri wa 82 anaonekana bado yuko vizuri.
Back
Top Bottom