Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,861
35,868
Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:

IMG_20240328_084428~2.jpg

Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.

Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa?

Kwamba kama ndoa, hadi kifo kiwatenganishe?

Kwa hakika tuendelee kujifunza penye nia ipo njia.
 
Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:

View attachment 2946542

Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.

Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa?

Kwamba kama ndoa, hadi kifo kiwatenganishe?

Kwa hakika tuendelee kujifunza penye nia ipo njia.
Hii ndiyo Afrika!
 
Tawala dhalimu za kiafrika huwa zinawafaidisha wajinga wachache wanaoona sifa kuendelea kupigia debe uwepo wa serikali za kinyonyaji, ilimradi wao waendelee kupata chochote toka kwa viongozi walafi wasiochoka kututafuna.

Mwinyi (RIP) akitaka mitano mingine na sababu zilikuwapo. Bila Nyerere kukomaa kivyake vyake tusingetoboa.

Jiwe tulishaambiwa atake asitake.

Haka katabia bila kujali itijadi za vyama, kalikuwa si ka kuendekeza.
 
Hahahahaha..hapa utagombana na watu

Tatizo ni kuwa pana ndugu wanachukulia personal, hili ni suala la principal. Tuheshimu taratibu na maoni ya watu.

Alisema Nyerere, ukiona watu hawataki ung'atuke, yawezekana:

1. Ni nia yao ya dhati kuwa kweli wananchi wanakuhitaji.

Au,

2. Ni hofu yao kuwa ukitoka watakula wapi ...

Akakazia kuwa hasa hili #2 ndipo walipo kina Etwege na kina Lucas mwashambwa.

Zingatia kama kwao kama kwetu hata huku wapo.
 
Twende na namba 2
 
Mwinyi (RIP) akitaka mitano mingine na sababu zilikuwapo. Bila Nyerere kukomaa kivyake vyake tusingetoboa.

Jiwe tulishaambiwa atake asitake.

Haka katabia bila kujali itijadi za vyama, kalikuwa si ka kuendekeza.
Sorry but... naamini ndio maana waafrika huwa tunaitwa manyani!.
 
Back
Top Bottom