Umri katika mahusiano

Kinyozi_tz

Member
May 23, 2020
13
24
Habarini wadau nisi wachoshe ngoja niende moja kwa moja katika mada .Katika jamii mwanaume kumzidi umri mwamamke imekuwa jambo lakawaida sana katika suala zima la mapenzi na mahusiano.

Lakini linapo kuja swala mwanamke kuwa na umri mkubwa inakuwa nongwa mara anatoka na lishangazi nk ni baadhi ya maneno ambayo wanaume kwenye aina hii ya mahusiano hukutana nayo.

Mimi nataka kujua mambo yafutayo kwenye aina hiyo ya mahusiano

1. Nini madhara ya mwanamke kumzid umri mwanamke
2. Je, nisahii kuoa mwanamke anaye kuzidi umri mfano 5years wazoefu mnaweza kushare experience zenu brother wangu anataka kuoa mtu wa aina hiyo lakini familia inapinga

Akhansanteni wadau
 
Mwanaume kama mhimili wa familia inabidi kimamlaka, kiuchumi, uwezo wa kufanya maamuzi na kama mlinzi wa familia inabidi awe mkubwa kiumri kuliko mwanamke (kwa desturi za kwetu waafrika). Kiafrika, mwanamke anatakiwa awe mdogo kiumri sababu ya mambo ya kuzaa, malezi na kazi nyingi za kila siku za familia ambazo zinachosha mwili na kuzeeka mapema.

Ukiona mwanaume anaoa mwanamke aliyemzidi umri kuna uwalakini katika mahusiano hayo, mfano, mwanamke kuwa vzr kiuchumi hivyo jamaa anakuwa tegemezi kwa namna fulani.
 
Habarini wadau nisi wachoshe ngoja niende moja kwa moja katika mada .Katika jamii mwanaume kumzidi umri mwamamke imekuwa jambo lakawaida sana katika suala zima la mapenzi na mahusiano.Lakini linapo kuja swala mwanamke kuwa na umri mkubwa inakuwa nongwa mara anatoka na lishangazi nk ni baadhi ya maneno ambayo wanaume kwenye aina hii ya mahusiano hukutana nayo.

Mimi nataka kujua mambo yafutayo kwenye aina hiyo ya mahusiano

1.Nin madhara ya mwanamke kumzid umri mwanamke
2.Je nisahii kuoa mwanamke anaye kuzidi umri mfano 5years wazoefu mnaweza kushare experience zenu brother wangu anataka kuoa mtu wa aina hiyo lakini familia inapinga

Akhansanteni wadau
Hiyo namba moja ndo nini mbona hueleweki
 
Habarini wadau nisi wachoshe ngoja niende moja kwa moja katika mada .Katika jamii mwanaume kumzidi umri mwamamke imekuwa jambo lakawaida sana katika suala zima la mapenzi na mahusiano.

Lakini linapo kuja swala mwanamke kuwa na umri mkubwa inakuwa nongwa mara anatoka na lishangazi nk ni baadhi ya maneno ambayo wanaume kwenye aina hii ya mahusiano hukutana nayo.

Mimi nataka kujua mambo yafutayo kwenye aina hiyo ya mahusiano

1. Nini madhara ya mwanamke kumzid umri mwanamke
2. Je, nisahii kuoa mwanamke anaye kuzidi umri mfano 5years wazoefu mnaweza kushare experience zenu brother wangu anataka kuoa mtu wa aina hiyo lakini familia inapinga

Akhansanteni wadau
Hakuna madhara yoyote. Ni uamuzi wa wapenzi. Acahana na bla bla unazosikia. Ndoa au uhusiano ni uamuzi wa watu wawili wenye umri wa miaka zaidi ya 18. Walimwengu siku zote watasema hata ungeoa au kuolewa na nani.
 
Umri muhimu, kwa nyie wanaume uoe aliekuzidi 5 duh sjui bhana ,haipendezi wakati mwingine
 
Back
Top Bottom