ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Asilimia 31.8 ya watoto chini ya miaka mitano Nchini wana Utapiamlo

    Waziri wa Afya ndugu Ummy Mwalimu amesema kuwa Katika nchi yetu ya Tanzania, watoto chini ya miaka mitano asilimia 31.8 wana utapiamlo. Waziri akaendelea kusema kuwa, hali hiyo inahatarisha maendeleo ya ukuaji ubongo wa watoto hao kitu kinachoweza kupelekea udumavu wa akili. Mimi binafsi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wanataka kuufuta Mfuko wa wafanyakazi wa WFC, hivi Serikali haioni hata aibu?

    Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana. Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu liangalie hili njama zinazofanywa na Madaktari na watu wa Maabara

    Hosipitali hasa za Wilaya kuna tabia moja ya madaktari kula njama na watu wa maabara kupima kila kipimo ni Tsh. 2000!. Mgonjwa akienda kwa Daktari akimweleza dalili za ugonjwa daktari anamwandikia vipimo zaidi ya vinne! Na ili mgonjwa akapimwe mpaka akalipie kwanza. Hii imekuwa kero kwa...
  4. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maabara kuu nchini Tz ilikuwa na mashine mbovu ya kupima sampuli, ilikosa wataalamu wa kutosha na wasimamizi walikuwa watepetevu- Waziri Ummy Mwalimu

    Hii ni kwa wale majirani wetu ambao walikata kata mipapai yao, baada ya kutangaziwa kwamba mapapai yana Corona. Maabara kuu nchini Tz, Dar, imeumbuliwa baada ya uchunguzi kutoka kwa timu ya watu 10, ambayo iliteuliwa na waziri wa afya nchini Tz, Ummy Mwalimu. Uchunguzi wao ulibaini kwamba...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

    Wanabodi, Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona. Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bunge lampongeza waziri Ummy Mwalimu kwa kusimamia vizuri mapambano dhidi ya Corona na kuudhibiti

    Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo. Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara ya taifa kimya kimya!

    Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya. Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma. Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nawahurumia sana waziri wa afya Ummy Mwalimu na waziri wa Sukari Innocent Bashungwa kwa sababu huu ni mwaka wa uchaguzi!

    Unaweza usielewe sasa lakini huko mbele ya safari utaelewa tu, hawa mawaziri wawili wamekalia kuti kavu. Katikati ya Corona sukari imeadimika madukani watu wanalazimika kusongamana bila kupenda wakiitafuta sukari. Sisi tulioishi wakati wa vita vya Kagera tunaamini Corona ni vita na hali ya...
  9. Victoire

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
  10. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Uongo Wa Vipimo Vya Corona Tanzania: Kwanini Waziri Mkuu Na Waziri Wa Afya wasijiuzulu?

    Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu anawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake

    Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu yuko mubashara TBC na Channel ten akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/21 Up dates:
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

    Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona. Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC). Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
  14. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri Ummy Mwalimu kuhusu maambukizi ya COVID-19: Watanzania tunahitaji kupewa taarifa za kila siku (Daily Updates)

    Kichwa cha uzi kimejitosheleza. Watanzania tunahitaji kujua kinachoendelea kuhusu hili janga. Source ya taarifa za jambo kama hili yapaswa iwe ni mamlaka husika, ambayo ni wizara inayoshughulikia masuala ya afya (hapa Tanzania wizara hii ina jina refu sana). Upande wa pili wa muungano...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kauli za sasa za Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kuhusu CORONA zimeshaanza Kuzua 'taharuki' nchini, hivyo ama adhibitiwe au ajiuzuru upesi

    Tunajua na hakuna Mtanzania hasa mfuatiliaji wa Mambo asiyejua kuwa kiukweli COVID-19 ni hatari na ' inapukutisha ' Watu kweli kweli kuanzia Mataifa ya Kitajiri (Ulaya na Marekani) na hata katika baadhi ya nchi zetu za Afrika na kwa Majirani zetu wakubwa Kijiografia Kenya, Uganda na Rwanda...
  16. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania CoronaVirus Tanzania: Mgonjwa mmoja apatikana Jijini Dar. Idadi ya Waathirika nchini yafikia 25

    Wizara ya Afya nchini Tanzania imethibitisha kuwepo kwa mgonjwa mpya wa COVIDー19 jijini Dar es Salaam ambaye ni mwanaume (51), raia wa Tanzania. Wizara inaendelea kuwafuatilia watu wote waliowahi kukutana na mgonjwa huyo. Ongezeko hilo linafanya visa vilivyoripotiwa kufika 25.
  17. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Waziri Ummy Mwalimu juu ya Coronavirus (COVID-19) lirekebishwe kukidhi mazingira yetu

    Tangazo ni zuri na linatoa taadhari kitaalam, lakini kuna baadhi ya mazoea ya baadhi ya watanzania ambayo yaweza kuzidisha COVID-19 kusambaa yanakosekana. Wana-sosiolojia walitakiwa kushirikishwa katika kuandaa hilo tangazo. Mfano, kuna lile kundi la vijana wavuta sigara kugoneana sigara...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha Wazuri Ummy Mwalimu

    Kusema kweli Ummy Mwalimu Nakupongeza kwa kazi unayofanya unachakalika mpaka kiatu kinachakaa Hili kiatu sio cha mtu kama wewe wazuri kiatu kimechakaa na vumbi juu sasa kama na wewe umechakaa je watembeza bahasha itakuwaje Samahani kwa hii thread
Back
Top Bottom