Tetesi: Waziri Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara ya taifa kimya kimya!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya.

Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma.

Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
 
Ni jambo jema yuko kwenye swaumu!
 
Ulitaka umsindikize kwenye kupokea ripoti? Subiri utaelezwa kilichoandikwa kwenye ripoti. Isitoshe aliyetoa order ya kufanywa uchunguzi ndiye anapaswa kupewa ripoti na Ummy Mwalimu. Mwenye kutoa order halazimishwi kwa vyovyote vile kuiweka ripoti hadharani.
 
Mkuu salary slip,
Hapa haumbuliwi mtu, wote wanahofu kubwa.

Kinachofanyika ni kutengeneza itakayoweza mpaisha mkuu siyo kumshusha.
Ndiyo maana ya ukimya huu, wakishapika ikaiva utawaona mezani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu.
Haiwezekani report ipingane na hisia za mkuu wakati lengo ni kuchukua credit kwa wadanganyika
 
Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya.

Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma.

Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
Sina shaka na chanzo chako Mkuu,Fuatilia kisha tupe Updates!!
 
Sina hakika content taarifa zitawekwa wazi, kwani madhaifu na mapungufu ni ya serikali covid tangu Feb 2020 , mbali ya tamko pesa za mwenge ( Huenda hazikuewepo) hata michango wadau awali hatujasikia mapokezi vifaa serious, kama ndege ya rais kufuata tiba mbadala Madagaska tukashuhudia live hatua zote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom