ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya kufua oksijeni kusimikwa katika Halmashauri 5

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali itasimika mitambo mitano ya kufua Oksijeni katika Halmashauri za Karatu, Mlele, Bunda, Masasi na Nyasa ambapo kila moja itapata Milioni 600 Akizungumza leo akiwa Dodoma ameeleza, "Wataalamu wameangalia maeneo yenye mlipuko wa magonjwa ya mara...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Atakayevurunda kwa fedha za Maendeleo ya Taifa, hatutamuhamisha kituo, tutamfikisha TAKUKURU

    Waziri wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI Ummy Mwalimu amesema Mkurugenzi atakayefanya ubadhirifu kwa fedha ambazo serikali ilipokea na kutoa kwa ajili ya maendeleo ya taifa na kupambana #COVID19 hawatawahamisha vituo. Amesema hawatakuwa na mchezo katika fedha hizi, mtu akivurunda atafikishwa katika...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Sitakubali mimi nitumbuliwe wakati wao(Wakurugenzi) wapo na wanachezea fedha za wananchi

    Waziri Ummy Mwalimu: Kwa sababu Mhe.Rais ananipima kwenye ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha za mapato ya ndani, na mimi Mhe. Rais nimewaambia (Wakurugenzi) nitawabana, sitakubali mimi nitumbuliwe wakati wao wapo na wanachezea fedha za wananchi".Waziri Ummy Mwalimu => Wakurugenzi wote...
  4. U

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Tume ya Utumishi wa Walimu, fanyeni msawazo wa walimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano

    Waziri Ummy - Fanyeni msawazo wa waalimu nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameielekeza Tume ya Utumishi wa waalimu nchini kuhakikisha wanafanya msawazo wa waalinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano sawa wa waalimu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 40 ya World Vision Tanzania - Hotuba ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi

    Leo hii tarehe 2 Septemba, 2021 Shirika lisilo la Kiserikali World Vission limeazimisha miaka 40 ya utendaji kazi yake hapa Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu. Kwakweli naomba na mimi niungane na Watanzania wengine kuwapongeza World Vission Tazania kwa kazi...
  6. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu kuomba World Vision mshirikiane kujenga madarasa tozo mnapeleka wapi

    Mhe Ummy ni Mgeni rasmi kwenye sherehe ya maika 40 ya World Vision Dodoma, anamuomba Mkurugenzi wa World Vision Gilbert washirikiane kujenga madarasa. Najiuliza walisema tozo zinatosha kabisa kwenye ujenzi wa madarasa, madawati na Hospitali hili la kuomba msaada inakuwaje tena, hapa nadhani...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu aagiza kata ya Kinaga Kahama kuwekwa kata za kimkakati

    Waziri Ummy Aagiza Kata ya Kinaga- Kahama kuwekwa katika Orodha ya Kata za Kimkakati itakayojengewa Kituo cha Afya Wahenga husema usiibe kabla Jua halijazama,pengine ndio kauli inayofaa kusemwa kwa Wananchi wa Kata ya Kinaga iliyopo pembezoni mwa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani...
  8. U

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI sasa ni ya wananchi, Waziri Ummy Mwalimu anastahili pongezi

    Leo nimemskiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na amesisitiza Ujenzi wa Vituo vya Afya katika Tarafa 207 utatumia utaratibu wa FORCE ACCOUNT sio KANDARASI. Na ameagiza watumie Mafundi Ujenzi waliopo ktk eneo husika ili kutoa ajira...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Afya za wanafunzi takribani 2,500 zipo hatarini kutokana na ukosefu wa maji kwa zaidi ya siku 21

    Shule ya Msingi Benako haina Maji Wiki Ya 3 baada ya Kukatiwa Maji Na Dawasco kwa deni La 200,000. Shule hii inapatikana maeneo ya Salasala Kata ya Wazo, Jimboni Kawe Jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopo ni kuwa muda wa wiki 3 sasa maji shuleni hapo hayapatikani hali inayotishia afya za...
  10. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Waziri Ummy asema Shule Shikizi zipo nchini, hutokana na kuhamahama kwa wakulima ama wafugaji

    Waziri TAMISEMI, Ummy Mwalimu ametolea ufafanuzi kuhusu video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha wanafunzi wa madarasa tofauti wakitumia chumba kimoja cha darasa huku walimu wakiendelea kufundisha. Waziri Ummy amesema haya... Hii kweli inafadhaisha, Hizi tunaziita satellite...
  11. Maneno Meier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, maisha ya vijana kwa sasa hayaridhishi. Nguvu kubwa itumike kubadili mfumo wao wa maisha

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa nasikitika leo kusema kuwa mpaka kufikia mwaka 2030 kama nguvu kubwa zaidi hazitatumika za kubadili mfumo mzima wa maisha yetu, nahofia vurugu tunazoziona hivi sasa huko Afrika ya Kusini zikitokea tutazishuhudia zikitokea hapa kwetu pia, tena kwa ukubwa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sijui 'Tozo Umiza Komoa' ikibadilika leo utasemaje. Waziri Ummy Mwalimu punguza 'Kiherehere' na jifunze Kutafakari 'Masuala' mazito

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini. Chanzo: Swahili Times...
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wizara ya TAMISEMI itanufaika na tozo za miamala ya simu

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini. My Take: Nakumbuka...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Tozo ya uzalendo ni ubunifu, tunajenga barabara vijijini

    Hii nchi haina uongozi aiseee Tumepigwa Mama anaupiga mwingii ===== Tozo mpya iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Sita kupitia mitandao ya simu na mafuta katika vyombo vya usafiri, zinaenda kuwanufaisha wananchi wa vijijini kwa kufungua mtandao wa barabara vijijini. Hayo yamesemwa na...
  15. MR TOXIC

    JamiiForums Tanzania Wazir Ummy Mwalimu analeta siasa kwenye elimu; ni sampuli ya viongozi ambao hawana uchungu na elimu ya watoto wa maskini

    Bila aibu Ummy Mwalimu amesema ajira 1360 za walimu wa physics na 599 za walimu wa hesabu kwamba zimemaliza tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini. Kwangu kauli hiyo ya Ummy naona inalenga kutafuta umaarufu wa kisiasa kwani alichokisema ni uongo unaofaa kupuuzwa na kila mtu...
  16. Jerry94

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na makosa yanayojirudiarudia kila ajira zinapotangazwa. Ingawa kwasasa wamejitahidi sana kupunguza hilo, sijui ni mradi wa 'wakubwa' au ni makosa ya 'system'?. Mosi, mtu mmoja kupata ajira mara mbili ndani ya miaka mitatu, katika sekta/kada...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu kupunguza idadi ya idara ndani ya Halmashauri nchini ili kupunguza matumizi na kuongeza ufanisi

    Mh. Waziri Ummy Mwalimu. Pamoja na jitihada zako za kupambana na tamisemi, ni vema sasa ukapunguza idadi ya idara zilizopo ndani ya Halmashauri na kuongeza vitengo zaidi ilu kupunguza matumizi na kuongeza utendaji. Mfano, kuunganisha idara ya elimu msingi na elimu secondary kuwa idàra moja ya...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy kufanya mabadiliko kwa Watendaji wa Mamlaka za Serikali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu ameahidi kufanya mabadiliko makubwa kwa watendaji wa mamlaka za serikali za mitaa kutokana na kutoridhishwa na utendaji kazi wa baadhi ya watumishi na Wakuu wa Idara katika mamlaka hizo. Waziri Ummy...
  19. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

    Habari za mda huu wakuu. Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada. Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Ummy Mwalimu sio mtu wa haki; haendani na wewe

    Kama ambavyo imeonekana Mh. Rais amekua akihubiri watu kutendewa haki,ameonekana kuwa kivutio kwa makundi yote ya kijamii. Amekubalika hata na wanasiasa wa upinzani na sasa ajenda yao imebakiatu kuwa ni katiba mpya. Mh. Rais amemuweka waziri wa TAMISEMI ambaye ni mzugaji hamaanishi juu ya yale...
Back
Top Bottom