ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu mshauri Rais Samia afute tangazo la kulivunja Jiji la Dar es Salaam

    Katika maamuzi ya kushangaza ya mwendazake, yaliyofanywa bila consultation, ni lile la kuvunja Jiji la Dar es Salaam, na kuifanya eti Ilala ndio Jiji. Mh. Ummy, mshauri Mh. Rais aagize consultation kwanza kwa lengo la kufuta uamuzi huo.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unda tume huru ya kuchunguza madhila wanayopitia wananchi wa Tanga

    Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia taratibu zote katika utumishi wa umma. Mbaya zaidi alipokua ziarani Tanga alimtolea mfano Martin...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hongera Ummy Mwalimu kwa Utendaji kazi wako usikivu wako

    Nianze kwa kukusalimu kwa salamu nzuri inayohamasisha ufanyaji kazi katika hali na juhudi kubwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Siandiki bandiko hili nikitarajia ujira wowote katika kuandika haya na wala siandiki hili kwa kuwa tunatokea Tanga tena mwahako bali naandika kama raia mwema...
  4. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI, pesa za fidia ya ada idara ya sekondari hazitoshi; elimu ya bajeti ya mwaka kwa kila shule inahitajika

    Wanajamvi habari za leo, Poleni kwa majukumu na mihangaiko ya kulipambania taifa letu pendwa la Tanzania. Mnaomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuandaa huu uzi kuhusu elimu katika sekondari. Naomba wizara zinazohusika ziweke mikakati imara ili waweze kuzidhibiti shule za serikali: Moja...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu kuna Hujuma huku Tamisemi, Tusaidie

    Mh Waziri Ummy Mwalimu Yapata mwezi na nusu sasa mfumo wa makato ya mishahara ya watumishi wa manispaa ya Ilala na Temeke haifanyi kazi, kiasi kwamba watumishi walio katika hizo manispaa wanaotaka kuchukua mikopo wamekwama yapata mwezi na nusu sasa, tunaambiwa system ya RASSON imeharibika, hivi...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Kigezo kikubwa ambacho tutakitumia kuajiri walimu ni wale wanaojitolea. Alalamikia barua feki

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati hawajitolei. Ametoa kauli hiyo leo Mei 25, 2021 Bungeni Dodoma wakati akimjibu Mbunge wa Longido Kiruswa aliyehoji ni kwanini Seikali isiajiri...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika ajira mpya za TAMISEMI

    Wajuvi wa mambo vipi mbona kumekuwa na changamoto sana katika hiz ajira za TAmisemi mpaka inaleta hali ya kuhisi kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. naanza kupata hisia kuwwa huwenda pazia limeandikwa kuwa wote wenye vigezo wanaweza kuibgia ila nyuma ya pazia kuna ukuta na wala sio mlango...
  8. tzkwanza

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ajira 40,000 hadi ajira 9,000; hii imekaaje?

    Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Cha kushangaza wametangaza ajira 9000. Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000. Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726 Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana na vifo, kustaafu, kuacha kazi au kuhamia sekta nyingine. Waombaji wanatakiwa kuomba kupitia tovuti...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Ni marufuku Shule kuwadai cheti wanaoanza Darasa la kwanza

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema ni marufuku Shule kudai Certificate (Cheti) ya Awali kwa Wanafunzi wanaoanza Darasa la Kwanza Akiwa Bungeni Dodoma leo Mei 03, 2021 amesema "Bado hatujafanya vizuri katika kuongeza 'access' ya Watoto kuanza Elimu ya Awali kwahiyo haileti mantiki kusema...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ninamjibu Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu kuhusu kuwapongeza viongozi wa Tanga kwa kutogombana

    Bila kuwachosha wanajukwaa nitaandika kwa kifupi sana. Juzi waziri wa Tamisemi na mbunge wa Tanga alikuepo jimboni kwake. Kupitia mitandao ya kijamii nimeona eti akiwapongeza viongozi Tanga kwasababu hawagombani. Naomba nimwambie hawagombani kwasababu lao ni moja (kuinyonya Tanga). Unadhani mtu...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu awatumbua Mkurugenzi wa Temeke (Mwakabibi) na Mkurugenzi wa Sumbawanga (Msemakweli)

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili. Wa kwanza ni Nyangi Msemakweli wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Huyu katumbuliwa kwa ubadhirifu wake na usimamizi mbovu wa miradi ya Maendeleo pia alikuwa hana maelewano na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu safisha kwako kwanza

    Ummy Mwalimu nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ndani ya wiki hii umewasimamisha kazi wakurugenzi wawili wapishe uchunguzi kwa ubadhirifu. Mheshimiwa Ummy kwakuwa umekuwa Waziri wa TAMISEMI naomba sasa umshughulikie Mkurugenzi wa Halmashauri yako ya Tanga. Kwakua...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu, changamoto zinazohitaji kutatuliwa bado ni nyingi TAMISEMI

    Wanasema wajuzi, "Charity begins at home" Mh. Ummy Mwalimu umebebeshwa majukumu mazito kuliko uliyokua nayo awali. Hongera sana Changamoto ni nyingi hata mtangulizi wako anajua. Umeanza vyema kwa kupaza sauti dhidi ya wabadhirifu walio ibuliwa na CAG. Nimeona eti kuna mke wa kigogo mmoja...
  15. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu suala la Uhamisho kwa Watumishi wa umma litatue

    Binafsi nikupongeze kwa kuteuliwa kuwa Waziri katika OR- TAMISEMI, wizara hii ni kubwa na ina changamoto nyingi. Wizara hii utaiweza tu pale utakaposhirikiana vyema na wenzako na pia kuwa tayari kupokea na kufanyia kazi changamoto mbalimbali zinazoibuliwa na siye wananchi tulioko mashinani...
  16. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

    Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula. Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema... ''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la...
  17. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ummy Mwalimu na Dkt. Gwajima nani ana strategy nzuri ya kukabiliana na Covid-19?

    Members JF, Hebu jaribu kuwa rate hawa mawaziri kwenye kukabiliana na hii catastroph facing the global, yupi ana strategic plans nzuri ya kukabiliana na hii kitu?
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu amewashukuru Watumishi wa Sekta ya Afya na Watanzania kwa ushirikiano alioupata kipindi cha Uwaziri wake

    "Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku zote wamekuwa wakiniamini na kuniheshimu licha ya kuwa sio mwanataaluma wa Afya." "Kwa unyenyekevu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli ukija Tanga, haya ndiyo yataweza kukupa kura za kishindo

    Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico. Tokea miaka ya 1970, zao la katani limekufa baada ya nylon kugunduliwa na kuweza kutengenezwa kwa bei nafuu zaidi...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ummy Mwalimu ni Iron Lady, anaikamata Tanga peke yake...

    Huwezi kuamini kwani ameonesha uwezo wa "man alone" kwa kuishika Tanga vilivyo. Yaani Magufuli atafika Tanga kusalimia tu. Hongera sana THE DRAGON LADY
Back
Top Bottom