Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.
Fuatilia mahojiano yanayoendelea wakati huu Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akizungumza kuhusu Matumizi salama ya mitandao ya kijamii.
https://www.youtube.com/live/E13SKGnMr04?si=34HbpimcB7Avgfn-
Matukio ya wananchi kukamatwa sababu ya kumkosoa kiongozi fulani, hii imekaaje...
Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi?
swali la pili: Je, mtu ambaye hana uzoefu(graduate) hawezi kuongoza Taasisi Kwa mafanikio?
Lengo la mada hii ni kupata mtazamo...
Nawasalimu Kwa Jina la mwenyezimungu mwingi wa kusamehe, najaribu kutafakali kuhusu tabia za watanzania najaribu kulinganisha na mataifa mengi ya wazungu au wachina au wajapani kuhusu uzalendo wao.
Katika nchi ya Tanzania wafanyakazi wa umma wanafanya mambo ya ovyo Kwa Tamaa zao au...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua MRINDOKO amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kusimamia taasisi za serikali kutunza mali na maeneo yote wanayoyasimamia ili yasivamiwe.
RC Mhe. Mwanamvua MRINDOKO ameyasema hayo katika mkutano wa kusikiliza kero uliofanyika tarehe 05 Machi, 2024...
TAARIFA KWA UMMA
HITILAFU KWENYE MFUMO WA GRIDI YA TAIFA
Jumatatu, 04 Machi 2024
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lina utaarifu umma kuwa kumetokea hitilafu katika mfumo wa Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha ukosefu wa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo nchini pamoja na Zanzibar...
Kwenye suala la bima tunaomba Wafanyakazi wa Umma tuwe huru kuchagua kampuni yoyote ya bima ya Afya
Mimi naomba utaratibu ubadilike Ili Kila mtu awe huru kuchangia anapohitaji
Afya ni Huduma kwa Jamii wala sio chanzo cha Mapato hivyo ni Muhimu sana kwa hizi Kodi zetu tunazolipa kuhakikisha Huduma za Kiafya zinamfikia kila mmoja wetu bila kujali kipato chao.
Lakini sio sahihi kushinikiza watu binafsi kwa kuwapangia Bei au Kuwalazimisha wachukue BIMA sababu huenda kwao...
Nimesikitika sana kuona pamoja na adha ya mwendokasi na mateso wanayopitia abiria, serikali kuondoa/kupunguza mabasi na kuruhusu baadhi kutumika kwa watu wachache na kuwaacha maelfu wamekwama vituoni wakisubiri usafiri.
Hata kama kuna abiria ndani, Je vipi kuhusu usumbufu wanaopata abiria...
Friends and Our Enemies,
Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa.
Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki...
Huu mfumo ni mzuri sana, Ila sjajua feedback ya huduma tulizoziomba tunazipataje na kwa muda gani, kwa anayejua au alishawahi pewa feedback atupe elimu kidogo.
Tokea juzi Ijumaa Jioni hadi Alfajiri hii ya leo ID yangu hii ya GENTAMYCINE ilikuwa Imedukuliwa na Wahuni hivyo kama kuna Maudhui yoyote yaliandikwa tokea hiyo juzi hadi jana jua si yangu bali ni ya hao Wadukuaji Wahuni wakiongozwa na adriz, Dada Nifah, Popoma Tate Mkuu na Rafiki yangu...
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini.
Tanzania kuna watu wengi sana wanaishi katika dhiki isiyo ya mfano, kama wewe ni mtafutaji wa mtaani au pembezoni mwa mji...
Huwa natamani kuelewa vizuri. Sijajua vizuri kama Mbunge analipwa mshahara kila mwezi kwa miaka mitano, lakini ninachofahamu ni kuwa bunge likivunjwa baada ya miaka mitano huwa wanapewa hela nyingi sana, zaidi ya milioni 200 kwamba hiki ni kiinua mgongo.
Natamni kujua ni kigezo gani kilitumika...
MBUNGE ZAYTUN SWAI: Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi
"Naomba kutoa pole kwa watanzania wakiwemo wananchi wenzangu wa Mkoa wa Arusha hususani Jimbo la Monduli kwa kuondokewa na mpendwa wetu Waziri Mkuu...
Unaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake.
Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote...
Kwanza nimpongeze Ex DC Kitwala kwa kupigania HAKI yako. Nitoe mfano unaofanana wa Ex DC Kitwala. Kuna rafiki yangu aliteuliwakuwa Mkuu wa Wilaya akiwa na miaka 32 na akadumu kwenye Ukuu wa Wilaya kwa muda wa miaka mitano. Awamu hiyo ilipoisha hakupata uteuzi akiwa na miaka 37 na kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.