Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.
Rais wa zamani wa Peru, MartĂn Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19
Bunge iliidhinisha marufuku yake ya muda kwa Kura 86 za kukubali huku kukiwa hakuna aliyepinga. Vizcarra amekutwa na hatia ya...
Na Thadei Ole Mushi.
Wiki Moja iliyopita kupitia Ukurasa mtandao wa kijamii Facebook ITV iliripoti kuwa huko Geita kwenye shule ya Sekondari Magema ina walimu wawili tu. Habari hii haikupewa kipaumbele Sana kwa kuwa Tanzania tupo selective kwenye habari. Tunapenda Sana Scandal kuliko mambo...
Dah!
Kama mbunge una makontena ya Tende bora useme tu kuliko kudanganya bunge na umma wa watanzania kiasi hiki.
Kwamba Tende ni Sunnah, na Yesu alikula Mana na Tende ambacho ni chakula kitakatifu, hivyo Tende ziondolewe kodi ili Wakristo na Waislam tule Tende chakula kitakatifu alichokula...
Taasisi ambazo hazikuwasilisha hesabu zake kukaguliwa.
1. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
2. Kampuni ya Mbolea Tanzania
3. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
4. Mfuko wa UTT
5. Shirika la Magazeti Tanzania
6. Shirika la Posta Tanzania
7. Shirika la Reli Tanzania
8. Shirika la Simu Tanzania
9...
Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
"Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue "
Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine.
Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya hali ilivyo katika vyuo vikuu vyetu vya umma. Ninazo hoja sita, leo nitawasilisha mbili na zingine nitawasilisha ndani ya juma hili.
Ajira za Maprofesa katika vyuo vikuu vya umma na hali halisi ilivyo hivi sasa katika vyuo hivi
Mitaala ya Vyuo Vikuu...
Taarifa kwa Umma: Bondia Dula Mbabe na Twaha Kiduku Kuzipiga Juni 26, 2021.
Hii ni taarifa rasmi ya mpambano huo wa kukata na shoka nchini baina ya mabondia hao ili kukata mzizi wa fitina.
Bondia Dulla Mbabe bado hajakubali.kipigo cha awali katika pambano liliopita.
Ubuntu ni falsafa ya Kiafrika inayosisitiza ushirikiano wa jamii kama msingi wa maisha bora. Ubuntu ni neno la Kingoni linalotafsirika kwa Kiswahili kama "mtu si mtu bali watu".
Msingi wa falsafa hii ni mtu si mtu bali watu. Katika lugha ya Kihaya "Omuntu ti muntu ka ataliho bantu".
Falsafa...
Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
Hata alipokuwa hai hayati JPM kama bunge lingesema limkatae kwa kutumia ibara ya 46 ya katiba ya JMT na kumuondoa madarakani wananchi wangesimama na hayati JPM. Hili halina ubishi.
Kwa hiyo kama wanachi wangesimama na JPM basi ni wazi kuwa angeshinda. Na bunge lingeonekana kituko. Maana...
Naomba kama kuna mwenye jibu anipatie ii na mimi niweze kuwa huru kumsifu na kumpongeza shujaa wetu huyu na niweze kumtofautisha na wale wengine waliotupa matumaini ya uchumi wa gesi mwaka 2015 na tukawa tunashangilia mithili ya "mazuzu".
Sio kama miradi yake yote siiungi mkono,bali ningetamani...
Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa.
Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa kisiasa aliwamaliza kabisa kisiasa. Huyo ni hayati JPM, sasa...
Zaidi soma:
1) Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka
2) Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
Watumishi wa umma wanamaumivu makubwa mioyoni mwao sio siri, hata kama kipaumbele ilikuwa kumaliza kwanza mambo ya msingi kama ujenzi wa miundo mbinu, kuimarisha sekta ya afya na elimu lakini waalihitaji kuonewa huruma.
Waziri mkuu alikatisha watu tamaa kabisa pale aliposema eti kuongeza...
Binafsi nikupongeze kwa kuteuliwa kuwa Waziri katika OR- TAMISEMI, wizara hii ni kubwa na ina changamoto nyingi.
Wizara hii utaiweza tu pale utakaposhirikiana vyema na wenzako na pia kuwa tayari kupokea na kufanyia kazi changamoto mbalimbali zinazoibuliwa na siye wananchi tulioko mashinani...
Nimejiuliza sana swali hili, tunaambiwa ulipo tupo wapo kila mahali kwa maana ya kwamba usalama wa taifa, na tunaaminishwa kwamba usalama wa taifa ni waaminifu sana kwa Rais. Sasa inakuwaje hadi watu wanafanya wizi mkubwa namna hiii?
Je, Hao ulipo tupo hawahusiki na kutoa taarifa za ubadhirifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.