Pamoja na kero za mwendokasi, Serikali imeruhusu hawa mashabiki wa Simba kutumia mabasi ya umma huku abiria wakiteseka?

John Gregory

JF-Expert Member
Jul 14, 2019
1,060
1,957
Nimesikitika sana kuona pamoja na adha ya mwendokasi na mateso wanayopitia abiria, serikali kuondoa/kupunguza mabasi na kuruhusu baadhi kutumika kwa watu wachache na kuwaacha maelfu wamekwama vituoni wakisubiri usafiri.

Hata kama kuna abiria ndani, Je vipi kuhusu usumbufu wanaopata abiria wengine ambao hawana interest na mpira? Je huu usumbufu serikali imeruhusu? Mkuu wa DART amekusanya kiasi gani cha fedha kwa shughuli hii? Waziri analitambua hili?

Inasikitisha sana.

20240229_124353.jpg
 
Nimesikitika sana kuona pamoja na adha ya mwendokasi na mateso wanayopitia abiria, serikali kuondoa/kupunguza mabasi na kuruhusu baadhi kutumika kwa watu...
Utadhani waganga wa kienyeji na mirangi yao.

Ina maana abiria wengine walizuiliwa kupanda hayo mabasi? Wametumia mabasi mangapi kufanya huu ujinga?
 
Simba imeanza kuwa kero sasa

Dawa ni kushinda mechi zote yatashangiliwa badala ya kuonekana kero
 
Back
Top Bottom