umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Déjà vu: Umewahi kuwa sehemu, au kufanya kitu ukahisi ulichofanya au mazingira ya hapo kwa muda huo yamejirudia kabisa?

    Hiyo hali inaitwa déjà vu, Wanasayansi wameielezea kwa theories tofauti wakielezea inasababishwa na nini. Ila bado hamna jibu rasmi linalokubaliwa na wanasayansi: Theory mojawapo inaeleza kwamba, Namna ambayo ubongo huhifadhi kumbukumbu, mfano kuna jina unalijua limehifadhiwa kwenye ubongo...
  2. JamiiForums Tanzania Umewahi kuimba uongo?

    Igweeeeeee Eid Mubarak kwenu nyote. Maaake kwanza ncheke. Umewahi kujikuta unajua au unaimba wimbo flani kila mara ukihisi ndo maneno/lyrics sahihi lakini siku unakuja kuziona lyrics zenyewe unabaki kujicheka tu 😅😅😅 Mimi imeshanitokea mara nyingi sana lakini ya recently kabisa ni huu wimbo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kutumia muda gani mrefu kufukuzia Mwanamke?

    Kwenye harakati zako za kufukuzia mrembo, ulitumia muda gani mrefu kumpata Demu? Mm binafsi nilimfukuzia Demu kwa kipindi cha miezi 4, tena alikuwa ananionesha dalili za kunikubalia. Yani ile staki nataka. Tiririka Mkuu....
  4. JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo kutoka kwa abiria mwenzio wakati unasafiri?

    Ebana Kuna Jamaa hakupiga mswaki alafu story aziishi na maswali yasiyo eleweka. Vipi wewe Mkuu?
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa nzuri sana kutoka iringa usikose kusoma

    Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutizama hili tangazo?

  7. JamiiForums Tanzania Umewahi mtongoza mwalimu wako au mwanafunzi wako

    Wakuu hii hutokea sana tena Mara nyingi huko tunapokuwa tunatafuta elimu Unaweza kuona mwalimu wa kike/kiume kampenda mwanafunzi wake au mwanafunzi wa kiume kampenda mwalimu wake wa kike/kiume Sasa hapa shida huwa ni mbinu za kuanzia kumtongoza na najua wengine wapo humu jamvini ,naomba...
  8. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupasukiwa Kondom wakati wa show?

    ...imewahi kunitokea mara 2, nitaelezea moja. Weekend moja kuna binti nilikua namfukuzia tangu mwaka jana. Sasa akawa kakubali tukafanye ila akasisitiza nibebe zana. Wasiwasi ukanibip ila ile mihamu ndo inatuuaga mameeen. Tumefika room zile foreplays zinaendelea akanisisitiza nitoe ndom...
  9. JamiiForums Tanzania Lipi suluhisho la kudumu kwa mtu mwenye harufu kali ya mwili?

    Nimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda miwili wake una harufu kali sana. Nikamuuliza vipi dogo umekesha nini akasema hapana ndio kaingia...
  10. JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
  11. JamiiForums Tanzania Zimamoto sasa imefeli, Irudishwe Halmashauri, Hakuna Moto umewahi kuzimwa na ZT!

    Baada ya Magufuli kuingia madarakani, aliwapa hadhi idara ambazo ni idara tu na kuongeza matumizi yasiyo ya Lazma. Hili jeshi la zimamoto ni mzigo kwaTaifa na sasa tunaomba mh Samia Suluhu alirudishe kama zamani, fikiria halmashauri ya Moshi ilikuwa na magari matatu ya kuzima moto na ndiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Umewahi kuona jambo gani mtandaoni ukaliamini baadaye ukaja kujua si la kweli?

    Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote. Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

    UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari. 2.Wakikaribia mazingira ya...
  14. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

    Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko Nyengedi napanda Milima ya Rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika kijijini palepale nilizimia. Kuna siku tena natoka Makangaka naelekea Kiranjeranje kupanda basi saa...
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Mimi niliwahi kusikia madereva wa malori wanaoenda nchi jirani kuna muda wanasahau kama wapo safarini, kutokana na changamoto mbalimbali za njiani kama mipakani nk Naskia wamatembea na majiko yao kabisa pia wakiwa na unga, vitunguu, mboga, nyanya yaani wakifika mahali wanashuka wanakaa wanapika...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umewahi kumpigia kura mgombea wa chama kingine sababu uliona anafaa zaidi kuliko wa chama chako?

    Umewahi kumpigia kura mgombea tofauti na wa chama chako kwa kuwa unaona ana sifa bora za kuwa kiongozi kuliko wa chamani kwako? Au unampigia yule tu aliyesimamishwa na chama chako hata kama unaona hafai kuwa kiongozi. Kumekuwa na tabia ya watu kupiga kura kwa kufuata vyama, yaani kuwapigia kura...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wakiwa na taarifa sahihi kutosha kuhusu mambo muhimu katika jamii zao wanakuwa si rahisi kudanganywa na wanasiasa

    Umewahi kujutia kufanya uamuzi fulani kwa kuwa tu haukuwa na taarifa za awali ambazo huenda zingekusaidia kufanya maamuzi bora? Jibu ni kwamba watu wengi wamepitia hali hiyo. Hata hivyo, tunapopitia hali kama hiyo inapaswa kuwa wakati wa kutambua ukweli kwamba kuwa na taarifa za kutosha katika...
  18. JamiiForums Tanzania Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

    Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!. Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI 1. MLANGO Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani...
  19. JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kukifanya ukajivunia na kujipongeza mwenyewe?

    Funguka
  20. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Changamoto kama hii?

    Salamu kwa wote, Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo, Twende kwenye hoja ya msingi, Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama, Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…