umeme

  1. JamiiForums Tanzania Je, nini hasa kimefanya mgao wa umeme kuwa historia nchini Tanzania?

    Bado nakumbuka machungu makali tuliyopitia Watanzania mnamo mwaka 2006 enzi za mkwere wakati taifa lilipopitia kipindi kigumu cha mgao wa umeme kuwahi kushuhudiwa katika historia. Je, nini hasa kimefanyika kukomesha mgao? Au wale waliokuwa wakihongwa kufungulia mabwawa wamestaafu au ni nini...
  2. JamiiForums Tanzania Maajabu ya jimbo la Kawe: Halina propoganda za kuletewa Maji, Barabara wala Umeme; akili tu ya mtu wa kujenga Taifa

    Wana JF, Jimbo la Kawe ni jimbo lililosheheni viongozi wengi vichwa, mpaka sasa kuna Mawaziri wakuu wastaafu watatu, makatibu wakuu karibu wote. Jimbo hili linataka mtu kichwa tu, si kwa kuwa na hela nyingi eti utafanya kampaini, la hasha. Lenye vituo vya mafuta, lina migogoro ya ardhi tu...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Chaneli ya mambo ya Utalii imekuwa chaneli ya Mambo ya Umeme

    Nilikuwa naangalia safari chanel Tanzania, naona matumizi yake yameanza kubadilika, sijui ni kukosa ubunifu au kukosa vipindi Leo walikuwa wanaongea mambo ya mega watt na kilowatt tu 😂 Sio mambo ya mbuga zetu au Beach zetu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata kibarua hapa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Wakuu habari za wikend! Wakuu baada ya Mh, Raisi Magufuli kuruhusu shughuli na miradi ziendelee , Nime Jaribu kutafuta riziki kwenye miradi ya ujenzi inayo endelea hapa Dar bila mafanikio, huku familia ikizidi kuumia njaa, Nikaona ni bora nijaribu kuja huku kwenye ujenzi wa bwawa la Umeme...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna unafuu wa bidhaa za umeme kutoka Zanzibar?

    Poleni na mihangaiko ya siku nzima ya leo. Kuna bidhaa nimeziona kwenye mitandao zainauzwa Zanzibar na watu wa bara wanaziagiza. Tafadhali naomba kujua kama kuna mtu anajua unafuu wa bidhaa za kutoka Zanzibar, mtu akiifuta huko na kuisafirisha kuja bara. Je, gharama zake zinakuwaje hususani...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais okoa Shule ya Msingi Mpakani iliyopo chini ya nyaya za umeme mkali

    Zaidi ya miaka 40 shule hii ya msingi Mpakani iliyopo kata ya Mabibo mkoa wa Dar es Salaam kujengwa chini ya nyaya za umeme mkubwa wa gridi ya Taifa hali inayohatarisha maisha ya wanafunzi, maana nyaya ikikatika lazima maafa makubwa yatokee Simu za nyuma Tanesco walivunja nyumba zilizopo ndani...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kufikisha umeme mgodi wa stamigold Biharamulo

    Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuhakikisha kuwa, ifikapo mwishoni mwa mwezi Septemba, mwaka huu, umeme uwe umefikishwa katika Mgodi wa Dhahabu wa Stamigold uliopo Biharamulo. Alitoa maelekezo hayo jana, Julai 6, 2020...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kuacha kutumia nguzo za miti ili kuzuia ukatikaji wa umeme hasa sehemu zenye mafuriko

    SERIKALI itaachana na matumizi ya nguzo za umeme zitokanazo na miti na badala yake itatumia nguzo za zege ili kuepukana na uharibifu wa nguzo kuoza na kusababisha tatizo la ukatikaji wa umeme. Hayo yamesemwa wilayani Rufiji mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza makato ya kununua umeme kimya kimya mpaka 2%

    Habari wadau wa JF, Serikali yetu inayojali wanyonge imeongeza Tozo hadi kufikia 2% ukinunua umeme kwa kutumia mitandao ya simu na bank. Tatizo sio kuongeza ila wamefanya kimya kimya bila kutoa taarifa kuhusu ongezeko hilo lisilo na kichwa wala miguu. Serikali nyingine kipindi hiki cha korona...
  10. JamiiForums Tanzania Asante Rais Magufuli kupambana na mafisadi TANESCO, sasa umeme sio kero tena na haukatiki muda mrefu

    Tanesco iligeuzwa chombo cha kisiasa ambacho mafisadi waliitumia Tanesco kuifanya serikali ya CCM ichukiwe na wananchi ili upinzani ushinde 2015 karibu na uchaguzi mkuu nilikuwa Arusha mjini umeme ulikuwa unazimwa siku nzima unawashwa saa saba usiku na kuzimwa saa tisa usiku. watu vyakula...
  11. JamiiForums Tanzania Sambamba na ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere, Serikali ianze kutafuta pesa za kujenga njia kuu ya umeme (Backbone)

    Miradi hii ni ya gharama kubwa na utekelezaji wake huchukua miaka mingi. Ni maoni yangu kuwa, sambamba na ujenzi wa bwawa la mwal Nyerere, serikali ingeanza kutafuta fedha za kujenga njia kuu ya kusafirishia umeme itakayopita magharibi mwa nchi hasa katika mikoa ya Lindi, Ruvuma, Njombe, Mbeya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kwa kina kuwa na "Shirika la Maji la Taifa" na pia kuanzisha "Rural Water Access Agency" ya maji vijijini kama umeme wa REA

    Watu wanasema unapokuwa na njia ambayo kwa miaka mingi haizai matunda na bado unaing'ang'ania badala ya kutafuta njia mbadala ya kutatua tatizo, wewe una tatizo la akili. Suala la upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi, mijini na vijijini, limekuwa jambo ambalo limeumiza kichwa serikali...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa sana kufanya check up ya mifumo ya umeme na electronics kwenye gari yako

    Kwanza kabisa naomba radhi kwa sababu thread kidogo ni ndefu. Lakini ni muhimu kuisoma kwa sababu inaweza ikaokoa gharama kubwa au hata kuokoa maisha yako. Sasa tuendelee.. Watu wengi wakienda kufanya ukaguzi(check up) wa magari yao, Huwa wanakagua vitu kama Brake pads/brake shoes, ball...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Pwani baada ya Sumaye kuondoka washindwa kununua umeme ofisi iko giza

    Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku uchaguzi itakuwaje ?
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Upepo (Wind energy) wa Megawati 2.4 Mkoani Iringa

    Pichani ni mradi wa umeme kwa njia ya upepo ukiendelea kujengwa katika kijiji cha Usokami mkoani Iringa.
  16. JamiiForums Tanzania Bilioni 100 kusambaza umeme mitaa inayofanana na vijiji

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati, imetenga Sh 103.8 kwa ajili ya kusambaza umeme kwenye mitaa inayofanana na vijiji mkoani Lindi. Hayo yameelezwa na waziri wa Nishati Dk. Medard Kalemani juzi wakati wa uzinduzi wa mradi wa usambazaji wa miundobinu ya gesi asilia majumbani mkoani Lindi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania 'Timu ya Taifa' ya Wahandisi katika mradi wa Umeme Rufiji

    Mhandisi Robert Kabudi mwenye miaka 20 ya kusimamia miradi mikubwa ya ujenzi nje ya Tanzania pamoja na wahandisi wengine mahiri wazalendo wapo ktk mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji linatotegemewa kuzalisha 2115 MW wa umeme Tanzania. Mhandisi Robert anaitaja timu hiyo ya watu 21...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere kule Uganda wametengeneza Mabasi yao yanatotumia Umeme.

    Ugandan students at Makerere University have produced their first set of electric buses. Africa Facts Zone on Twitter Je hawa wanafunzi wa vyuo vyetu wanatengeneza nini?
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Zambia kuufunga mpaka wa Tunduma na mizigo mingi ya Congo kukawia kufika Congo wajibu mapigo;wawakatia umeme Wazambia!

    Inaitwa man to man! Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa! Chanzo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…