umeme

  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Kijana wa CHADEMA mbaroni kwa kutaka kuvuruga mkutano wa Dkt. Magufuli kwa kupigisha shoti vyombo vya umeme

    Kijana mmoja hapa Arusha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupiga short vyombo kwenye mkutano wa mgombea urais CCM.
  2. JamiiForums Tanzania Fundi umeme anaitajika Moshi - Tanzania

    Cube Operator (Electrical) Job Description : Reports To: Production Manager Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer and spirits). It is a subsidiary of East Africa Breweries Limited (EABL), the largest business unit...
  3. JamiiForums Tanzania Umeme kukatikakatika Dar kipindi cha uchaguzi ni ishara nzuri

    Mzee baba alishajinadi hakuna mgao ila wenye umeme wao hazipiti siku mbili wanakata tena bila taarifa wala nini. Nadhani ni ishara nzuri hasa kipindi hiki ambapo zimebaki siku chache tufanye uchaguzi mkuu. Kuanzia Mbezi mwisho hadi Goba kote ni kilio cha umeme daily,sijui pande zingine nako...
  4. JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

    NINI TAFSIRI YA MEGAWATTS 2,115 ZA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE (Stiglers Gorge)? Wengi tunaona na kusikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa maji wa Megawatts 2115 kutoka kwenye Mto Rufiji, mradi uliobuniwa na Mwalimu Nyerere toka mwaka 1975 na sasa...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Salaam wadau. Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina. JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha serikali ya Rais Magufuli kwenye sekta ya umeme

    Na Bwanku M Bwanku Wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli anaingia madarakani Novemba, 2015 na toka nchi yetu ipate uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza mwaka 1961, nchi ya Tanzania ilikuwa na jumla ya vijiji 2018 tu vyenye umeme kati ya vijiji 12,268 vya nchi nzima ya Tanzania. Kuingia madarakani...
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO mnaogopa nini? Tangazeni kuwepo kwa mgao au tatizo kubwa la umeme Dar es Salaam

    Habari wana JF, Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam. Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote. Huku Kimara leo hata siku...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama hatujui kilichomo katika mkataba wa ujenzi wa Bwawa la Umeme huko mto Rufiji, tuna uhakika gani bei ya umeme itakuwa nafuu?

    Japo ni kweli kuwa umeme unaotokana na maji huwa ni wa bei nafuu kulinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine kama vile mafuta, gesi, nuclear, n.k , lakini je,si kweli kuwa mkataba wa ujenzi wa chanzo husika cha umeme unaweza kufanya bei ya umeme kuwa kubwa kuliko inavyotarajiwa? Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ndege, Treni na Machine ya kufua umeme ya Askofu Gwajima alivisimika wapi, chuo cha marubani Jem hiyo ilikuwa 2017

    Wana JF, Ukitaka kujua aina za wachungaji tuliona basi unasubiri tu mudam ahadi lukuki za Askofu gwajima sijawahi ona hata mojam alisema atafungua chuo cha marubanim watu waje kujifunza kuendesha ndegem Alisema mwakani ataingiza machine za kufua umeme ambazo zitamaliza kabisa tatizo la umeme...
  10. JamiiForums Tanzania DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

    Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini. Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa...
  11. JamiiForums Tanzania Karibu tukutengenezee ramani za umeme kwa majengo mbalimbali kwa gharama nafuu

    Habari wana Jamiiforums mimi ni mhandisi umeme upande wa ushauri, kwa yeyote mwenye uhitaji wa kuandaliwa na kutengenezewa michoro ya umeme(lighting with power system) pamoja na mfumo wa vifaa vidhibiti moto (fire detection system), karibu tukuhudumie tunafanya kazi ya kuandaa michoro kwa muda...
  12. JamiiForums Tanzania Mapinduzi kwenye sekta ya umeme

    MAPINDUZI KWENYE SEKTA YA UMEME. Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015 na toka nchi yetu ipate Uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza mwaka 1961, nchi ya Tanzania ilikuwa na Jumla ya Vijiji 2018 tu vyenye Umeme kati ya Vijiji 12280 vya nchi nzima. Kuingia madarakani tu kwa Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Ijue vyema tafsiri ya Megawati 2115 za umeme

    Kama kuna jambo ambalo Rais John Magufuli atakumbukwa sana na vizazi vya sasa na vijavyo ni kuamua kuendelea na ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa maji katika Mto Rufiji, mradi ambao ulipingwa sana na mabeberu. Hata hivyo, baadhi ya Watanzania wanasikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi...
  14. JamiiForums Tanzania Utatuzi wa ajali (shoti)za umeme majumbani na mashuleni zinazoua wanafunzi na raia duniani

    Kwanza niwapongeze na kutambua mchango wao waliogundua umeme wa TANESCO na wa sola miaka mingi iliyopita. Sasa ili kuepuka vifo ni lazima nyumba zetu au mabweni yetu yawe na umeme wa sola na wa TANESCO. Mchana utatumika umeme wa TANESCO tu, na usiku majumbani na mabwenini utatumika umeme wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ugumu wa kupata kibarua hapa Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Wakuu habarini za majukumu! Ni karibu miezi 2 sasa toka nilipotoka Dar na kujielekeza Morogoro eneo la Kisaki kutafuta riziki ya familia kwenye Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umeme. Wakuu huu mradi ni mkubwa sana ila utaratibu wa kuchukua wafanyakazi hasa get la Kisaki ni mbovu sana. Wajumbe...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa usambazaji wa Umeme Vijijini Barani Afrika

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80. Mhe. Majaliwa aliyasema hayo wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwenye mkutano wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa California, Davin Newsom, atangaza mgao wa umeme

    Kutokana na mahitaji kuzidi uwezo wa ugavi, umeme utakuwa ukikatwa muda wowote kuanzia saa tisa alasiri mpaka tatu usiku kwa kupokezana baina ya viunga tofauti tofauti vya mkoa wa California, kwa mujibu wa Mheshimiwa Davin Newsom, Mkuu wa Mkoa. Bwana Newsom ameziomba kampuni zenye mivyombo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Wakati tunajiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020: Tanzania yaongoza Afrika usambazaji umeme Vijijini

    Ndugu zangu, Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura. Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa "amekosea" kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusambaza umeme kiwango cha 80% kwa sababu sio kweli

    Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Kalemani tunaomba imulike TANESCO jiji la Mbeya rushwa imezidi kuunganishiwa umeme

    Habari wanajamvi, Kiukweli kuunganishiwa umeme kwa jiji la Mbeya, imekuwa kama ni hisani. Nimelipia nguzo ili niunganishiwe umeme laki 567,000 tokea mwezi wa pili lakini hadi leo sijapata huduma ya kuunganishiwa umeme. Nimefuatilia ofisini kwa mara kwa mara wanasema tutakuja tutakuja lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…