The suspender
Senior Member
- Sep 1, 2020
- 128
- 138
MAPINDUZI KWENYE SEKTA YA UMEME.
Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015 na toka nchi yetu ipate Uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza mwaka 1961, nchi ya Tanzania ilikuwa na Jumla ya Vijiji 2018 tu vyenye Umeme kati ya Vijiji 12280 vya nchi nzima. Kuingia madarakani tu kwa Rais Magufuli kulifanya maajabu yaliyoshindikana miaka kwa miaka kwenye Sekta ya Umeme kwa kupeleka Umeme kwenye Vijiji vipya 7552 ambapo mpaka sasa Tanzania ina vijiji 9570 vyenye Umeme.
Fikiria kwa miaka mitano tu Rais Magufuli amedouble Mara 4 zaidi Vijiji vyenye Umeme kutoka Vijiji 2018 toka tupate Uhuru mpaka Vijiji 9570 na hivyo kuifanya Tanzania kutajwa na Vatican News kushika nafasi ya Kwanza barani Afrika kwa kupeleka sana Umeme vijijini na hivyo kuipiku Afrika Kusini kwa kufikisha Umeme kwa asilimia 80.
Mpaka Kufikia June 2021 nchi ya Tanzania itafikisha Umeme kwenye Vijiji vyote vilivobaki 2710 na hivyo kufanya vijiji vyote vya Tanzania kuwa na Umeme. Hapo unazungumzia Kupunguzwa kwa gharama ya uunganishiwaji wa Umeme kutoka Tshs 177,000 mpaka Tshs 2,7000. Nimekufikishia na tukafanye maamuzi Oktoba 28.
Bwanku M Bwanku.