Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Habari wana JF,
Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote.
Huku Kimara leo hata siku haijaisha wameshakata mara mbili.
Yaani tunapigwa spana kimya kimya.