Pugu Kajiungeni eneo la mpakani hatuna umeme tangu jana

imbegete

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
1,299
989
Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme.

Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata!

Tufanye nini?
 
Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye Nini?
Wacheki PM TANESCO ukiwa na details za Mkoa, Wilaya, na mtaa ambao una shida pamoja na maelezo kuhusu shida yenyewe na namba yako ya simu.
 
Back
Top Bottom