peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,819
- 21,425
Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa rushwa na ukiritimba mkubwa ili kupata umeme wa Tsh 27,000. Cha kushangaza graduates wamejaa mitaani Ila surveyor wa tanesco ni wawili mkoa mzima. Tunaomba waziri mwenye dhamana na wizara ya nishati, atembelee ofisi ya tanesco mkoa wa Kilimanjaro ajionee maajabu.