Si busara kubeza mradi wa Stiegler’s Gorge, wakati wakubwa wanazindua mabwawa makubwa zaidi ya kuzalisha umeme

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,006
1,026
VCG111336669123.jpg


Siku chache kabla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), China ilizindua kituo kikubwa cha kuzalisha umeme kwa nishati ya maji kilichoko Baihetan Kusini Magharibi mwa China. Kituo hicho ni moja ya miradi mikubwa ya umeme sio nchini China tu, bali pia duniani. Mradi huu unafanana na ule wa Stigler’s Gorge wa Tanzania, japokuwa kwa ukubwa, wa Tanzania ni mdogo.

Wakati akipongeza kuzinduliwa kwa kituo hicho Rais Xi Jinping wa China amesema kituo hiki ambacho ujenzi wake ulianza mwaka 2017, ni kituo kikubwa zaidi kuwahi kujengwa kwenye mazingira magumu ya kiufundi, na anatumai kuwa kitatoa mchango mkubwa katika kupungua utoaji wa hewa ya Carbon nchini China, na kuhimiza mageuzi ya kiuchumi na maendeleo ya kijamii. China ni nchi iliyopiga hatua katika teknolojia zote za kuzalisha umeme, lakini haijasahau na inaendelea kuweka mkazo kwenye ujenzi wa mabwawa ya kuzalisha umeme kwa nishati ya maji.

Mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya maji wa Stigler’s unaendelea kujengwa kwenye bonde la mto Rufiji nchini Tanzania, mradi huu ukikamilika unatajwa kuwa utapunguza sana gharama za umeme nchini Tanzania. Uamuzi wa kujenga Bwawa la Stigler’s ulikosolewa na baadhi ya watu kwa sababu za kimazingira, na baadhi ya watu kuona kuwa hautakuwa na manufaa makubwa ya kiuchumi, kutokana na gharama kubwa za ujenzi ikilinganishwa na faida.

Ikumbukwe kuwa Tanzania ina lengo la kuwa na uchumi wa kati kabla ya mwaka 2025 na msingi wake utakuwa ni viwanda. Bila kuwa na umeme wa uhakika na wa gharama nafuu, ni vigumu kutimiza ndoto hiyo. Tanzania inaendelea kutekeleza mpango kabambe wa kusambaza umeme vijijini, kwa lengo la kuboresha maisha ya watu, si rahisi kufanikisha lengo hilo bila kuwa na umeme wa uhakika.

China tayari imepita hatua hizo na sasa ni nchi ya viwanda yenye maendeleo makubwa ya uchumi. Gharama za umeme nchini China ni nafuu sana na zinavutia wawekezaji, lakini bado China inaendelea na ujenzi wa vituo vya kuzalisha umeme kwa nishati ya maji. Kwa hiyo watu wanaojaribu kubeza mradi wa Stigler’s Gorge wa Tanzania, inawezekana ni watu wenye nia mbaya, au hawajui miradi kama hiyo ina manufaa gani kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika nchi yoyote.

Ikumbukwe kuwa kwa sasa China ina kituo kuliko vyote duniani vya kuzalisha umeme kwa nishati ya maji kinachoitwa Three Gorges, lakini pia kati ya vituo vikubwa zaidi 10 vya kuzalisha umeme kwa nishati ya maji, vitano viko China. Lakini China bado inaendelea na ujenzi wa vituo vya kuzalisha umeme kwa nishati ya maji sio tu kwa lengo la kuendelea kupatia wananchi wake umeme wa bei nafuu, bali pia ni sehemu ya kutekeleza ahadi yake ya kupunguza utoaji wa hewa ya Carbon.
 
Binafsi sjawah kubeza miradi ya kimaendeleo ambayo n tangible (inaonekana) Kama reli ya kisasa bwawa la umeme na hata HOIMA CHONGOLEANI PIPELINE

Shida n pale kunufaika na hii miradi mikubwa ambayo tunayo mfano GESI YA MTWARA (MSIMBATI) LINDI (SONGOSONGO ) tuliaminishwa mirad hii ikikailika kutakuwa na unafuu wa umeme na mwingine tutauza nje lakn Leo hii TUMEKUWA WATUMWA WA GESI YETU

Tunayo mabwawa ya nyumba ya mungu hale na mingineyo lakn bado utasikia mabwawa hayana maji lakn mvua inanyesha kupindukia kila mwaka lakn mabwawa hayajai sijajua tatizo liko wapi nchi hii.

Jitihada ziendane na maendeleo ya teknolojia pia mfano tunajenga mabwawa ya umeme lakn tunasahau kuimarisha mfumo wa LUKU tunakaa had siku 5 bila kuoata huduma ya LUKU Sasa hapo napo tatizo pia

Tuna reli ya TAZARA na na RELI ya kati juzi nilikuwa mpanda KATAVI mabehewa yanayoenda huko hayaendan na idadi ya watu TRC inapeleka mabehewa 4 tu wakat mahitj n mabehewa 9-10 kwa hyo watu wanabanana Sana inafkia had hewa n ya shida janga kama UVIKO19 n rahis kuambukizana.

MWENDOKASI huu ulikuwa n muarubain wa usafir DAR ES SALAAM ulipokuwa unajengwa kila mtu alifurah na kuona jitihada za viongoz lakn leo n SHUBIRI kwa watumiaji magari yapo lakn mabovu wamejenga karakana ya mapesa eneo amabalo wenyewe wanaona kabisa n kisiwa cha maji mainjinia wapo wanaona lakn mrad unaruhusiwa matokeo yake magar wakat wa masika huzama ndan ya karakana Leo hii unaweza kukaa ndan ya kituo cha mwendo kasi masaa 2 na usipate gari

Nimejaribu KUKUELEZA au kuonesha jinsi maendeleo yalivyo nchini Tanzania lakn maendeleo haya haya yamegeuka SHUBIRI KWA WATANZANIA.

NI VEMA TUWE NA SUBIRA JUU YA MIRADI HII KULIKO KUISIFIA SANA LAKN MWISHO WAKE HUWA MATESO KWA WATANZANIA TUISHAURI SERIKALI KWA USTAARABU ILI IJIREKEBISHE KWA MAPUNGUFU YAKE JUU YA MIRADI HII
 
Nikiona tu mtu kaandika mareeefuuu najua ni uharo na upuuzi. Miradi yote ya Shetani Magufuli ni hovyoo na uchuro mtupu.
 
Wanaoponga ni wale wale waliokuwa wanasababisha ule mgao wa umeme ili umeme usi intercect line zao.

Stiglers Gorge itakamilika ila mkakati wao wa wale watu wapingaji ni kuwa mradi huo Usifanikiwe kushusha bei za umeme ili lengo lisifianikiwe watu waendelee kutumia.

Mafuta yao na gas yao.
 
Msitumie nguvu kulazimisha miradi ya wizi isifiwe. Onyesheni tija yake.
Huo ni mradi wa hovyo na hauna tija hata kidogo.
Porini chawa wa Shetani Magufuli MWENDAZAKE.
Hivi hata form one ulifika? Au uliishia darasa la nne!
 
Kwenda kanyee mbele huko, wewe sio mtanzania ni mpiga tumba tu, unaona raha Songas kutuuzia umeme sio
Nikiona tu mtu kaandika mareeefuuu najua ni uharo na upuuzi. Miradi yote ya Shetani Magufuli ni hovyoo na uchuro mtupu.
 
Msitumie nguvu kulazimisha miradi ya wizi isifiwe. Onyesheni tija yake.

Huo ni mradi wa hovyo na hauna tija hata kidogo.

Porini chawa wa Shetani Magufuli MWENDAZAKE.
Sasa wewe taahira utawezaje kuona mradi kama una tija wakati akili huna.
 
Mkuu ni mazezeta tu na mashoga wanaweza kupinga mradi wa maji wa Nyerere.
Mataahira yanapongeza hii miradi !!! Ila kiukweli in modern technology hydro power is out of era!!! Muda utaongea kwan mangapi ccm mliambiwa na mkabisha baadae mkaumbuka!?? Unafiki ni silaha ya masikini
 
Wanaoponga ni wale wale waliokuwa wanasababisha ule mgao wa umeme ili umeme usi intercect line zao.

Stiglers Gorge itakamilika ila mkakati wao wa wale watu wapingaji ni kuwa mradi huo Usifanikiwe kushusha bei za umeme ili lengo lisifianikiwe watu waendelee kutumia.

Mafuta yao na gas yao.
Hivi unaukumbuka mkongo wactaifa!?? Mlisemaje!?
 
Mataahira yanapongeza hii miradi !!! Ila kiukweli in modern technology hydro power is out of era!!! Muda utaongea kwan mangapi ccm mliambiwa na mkabisha baadae mkaumbuka!?? Unafiki ni silaha ya masikini
Which technology?

Hata waume zako bado wanajenga hydro power plants wewe unasema modern technology, ipi hiyo?

Angalia waume zako Canada wanajenga Hydro electric power inaitwa Site C Dam inategemea kukamilika 2025 itazalisha megawati 1100.

Ama hata hao waume zako hawajui modern technology?

Ndio maana nawaita mashoga mapunga mnaopogwa miti mchana kweupe na mazezeta.

Nchi nyingi Duniani kuanzia Dunia ya kwanza hadi Dunia ya 3 wanajenga hydro electric power plants halafu wapunga mnakuja kuharisha humu shahawa eti hydro imepitwa na wakati.
 
Leo Jk Kikwete,na ma Pm wastafu Pinda, Msuya wameenda kwa Choper huko kuona huo mradi wa stiegler....
 
Wenye Nchi wako madarakani sisi tuendelee na mambo mengine
 
Back
Top Bottom