Kukatika kwa Umeme ni Dar es Salaam yote au baadhi ya maeneo tu?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,209
12,912
Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko Kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa style ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema.

Nikaamua kuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia.

Nambie we uko wapi? Kwako kuna umeme?
 
Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa styl ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema.

Nikaamua kuuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia.

Nambie we ukowap? Kwako kuna umeme?
dar yote na pwani yote pamoja na moro baadhi.
HAKUNA UMEME

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kituo kikubwa cha kupozea umeme Moro kimeungua tanga pia hamna umeme sijajua km ni tanga
Ma dikteta duniani kote wana mbinu za hovyo sana,

Miaka fulani huko,Urusi,Raisi wa Russia alikuwa anataka kuvamia nchi moja jirani ambapo kulikuwa Kuna kikundi Cha kijeshi,kigaidi kilichokuwa kinataka kujitenga,alichofanya.

alituma maofisa wake wakalipua mabomu kwenye shule ya watoto wadogo ndani ya Urusi,harafu akautangazia ulimwengu kwamba kile kikundi Cha kigaidi ndio kimefanya mashambulizi.

Hapo akapata sababu ya kuivamia hiyo nchi,na kushambulia hatari,hili tukio la Morogoro Tanesco,kuungua,isije ikawa inatafutwa sababu ya kuifuta Chadema na kumfunga Mbowe,kwamba yeye ndie aliye endesha hii hujuma ya kulipua kituo Cha Tanesco
 
Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa styl ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema.

Nikaamua kuuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia.

Nambie we ukowap? Kwako kuna umeme?
Maeneo fulani ya Mbagala, umeme umekatika mara 7 leo asubuhi, ilivofika saa 7 ukakatika tena mpaka sasa hivi haujarudi tena.
 
Ma dikteta duniani kote wana mbinu za hovyo sana,

Miaka fulani huko,Urusi,Raisi wa Russia alikuwa anataka kuvamia nchi moja jirani ambapo kulikuwa Kuna kikundi Cha kijeshi,kigaidi kilichokuwa kinataka kujitenga,alichofanya.

alituma maofisa wake wakalipua mabomu kwenye shule ya watoto wadogo ndani ya Urusi,harafu akautangazia ulimwengu kwamba kile kikundi Cha kigaidi ndio kimefanya mashambulizi.

Hapo akapata sababu ya kuivamia hiyo nchi,na kushambulia hatari,hili tukio la Morogoro Tanesco,kuungua,isije ikawa inatafutwa sababu ya kuifuta Chadema na kumfunga Mbowe,kwamba yeye ndie aliye endesha hii hujuma ya kulipua kituo Cha Tanesco
Siro ataongea kesho tena
 
Back
Top Bottom