umeme

  1. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, === Tufahamu lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia...
  2. instagram

    JamiiForums Tanzania Tangu awamu hii imeingia madarakani umeme unakatika ovyo

    Tangu awamu ya pili iingie madarakani nchi hii imekuwa na changamoto mbalimbali za umeme kiasi kwamba umeme umekuwa kama anasa vile kama bia na sigara. Yani kila siku nchi yetu inafanya juhudi mbalimbali kuhakikisha kwamba anasa hii ya umeme haiwafikii wananchi kwa wakati. Kila kukicha ni...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

    Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo. Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa...
  4. mgt software

    JamiiForums Tanzania January Makamba, umejaribiwa mapema sana na watendaji wako, kukatikakatika kwa umeme kutakuondolea kuaminika, enzi zenu za majenerator zaja

    Wana Jf Kukatika hovyo kwa umeme ni iShara mbaya sana kwa Wazir J.Makamba, huenda wafanyakazi wanamjaribu au aliowaingiza hawana uweledi wa viongozi, jana watu walishindwa kununua umeme, vijana mnaosema wajiajiri wamekosa pesa. Siku mzima hawakufanya kazi, leo mkoa wa kagera na sehemu fulani...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kutokana na utabiri wa TMA kuhusu uhaba wa mvua; je, bwawa la Mwalimu Nyerere litajaa na kuanza kuzalisha umeme mwakani?

    Nauliza tu kwa wataalamu wa Hydro power je tuendelee kutumaini umeme mpya kutoka Bwawa la Nyerere katikati ya mwaka ujao kama tulivyoahidiwa? TMA wametabiri mvua chache sana mwishoni mwa mwaka.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la LUKU limerudi tena

    Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
  7. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

    Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM. Sielewi tatizo ni nini!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maisha kuwa magumu zaidi: China kuna matatizo ya umeme, Ulaya nako kuna mgao, gesi na makaa ya mawe ni dili kubwa

    Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka. Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
  9. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Achana na Chanjo ya UVIKO-19, Hii ndio propaganda nzito iliyokuwa inapigwa kupinga Umeme miaka ya 1990s

    Propanda ya kupinga Umeme.
  10. ndiuka

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kuwa na umeme mwilini (Static electricity)

    Katika siku za hivi karibuni nimekuwa na tatizo la kupigwa shoti ya umeme naposhika milango ya aluminium au mageti. Hii hutokea ninapokua nimekaa kisha kuinuka either nifungue mlango wa ofisi wa aluminium basi huwa napigwa shot au ninaposhuka kwenye gari nifungue geti nyumbani basi pia...
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tukipeleka umeme vijijini, tutaua ndege wawili kwa jiwe moja kwa kupata nishati ya umeme na tutatengeneza fursa nyingi zitokanazo na umeme

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Umeme ni nishati muhimu sana katika karne hii ya leo. Shughuli nyingi za majumbani, viwandani, ofisini na sehemu zingine, zinategemea sana nishati hii ili kufanya kazi. Matumizi yake ni mengi mno na umuhimu wake hauelezeki. Heko kwa Serikali ilijitahidi na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania China yakabiliwa na ukosefu mkubwa wa umeme

    Nchi ya China ambayo ndio nchi ya pili kwa uchumi mkubwa imekumbwa na ukosefu mkubwa wa umeme kiasi cha kulazimika kuzima mpaka taa za barabarani kwa baadhi ya miji yake mikubwa Hali hii inasadikiwa kusababishwa na ongezeko kubwa la bei ya makaa ya mawe & upungufu mkubwa wa maji kwenye mabwawa...
  13. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vijiji vingapi vinapata umeme hali halisi?

    Nasoma kwenye Daily News ya tar. 27 Septemba kuwab"Dodoma regional Commissioner, Mr Anthony Mtaka thanked the President for supporting the region to address a number of challenges. Others are rural electrification projects saying that out of 531 villages in the region, 461 have been connected...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Janga linatufuata- bei ya umeme duniani inapanda kwa kasi

    The Economist explains Why has the price of electricity in Europe reached record highs? A shortage of natural gas and wind are to blame Sep 15th 2021 IN EUROPE THE cost of electricity is soaring. Prices had been rising steadily this year, as economic recoveries got under way. But they have...
  16. M

    JamiiForums Tanzania MD REA amepeleka umeme vijiji vingi, nini sababu ya kuondolewa?

    Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je...
  17. S

    JamiiForums Tanzania OMBI: Serikali iikumbuke mikoa ya pembezoni hasa Kigoma. Hali ya barabara na umeme siyo nzuri

    Nasema hivo kwa sababu barabara ya kuanzia Nyakanzi, Kakonko, Kibondo, Kasulu inajengwa na imeikamilika baadhi ya maeneo ila eneo la Kibondo mpaka Kasulu bado mkandarasi naona uwezo wake mdogo. Kwa upande wa umeme tunashukuru Makamu wa Rais kumsisitiza sana Waziri Makamba kulivalia njuga suala...
  18. nover

    JamiiForums Tanzania Maduka ya jumla ya vifaa vya umeme kwa mkoa wa Mwanza

    Habari wadau. Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni. Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu. Asante.
  19. Genius Mzee

    JamiiForums Tanzania Makamba toka achaguliwe Wizara ya Nishati, Rukwa hatuna umeme

    Jamaa kaja na gundu ile mbaya Toka nianze kuishi Rukwa mwaka 2019 umeme haujawahi kukatika kwa siku mara kumi au kupotea kabisa kwa masaa zaidi ya 24. Ila Toka Makamba awe Waziri wa nishati umeme mkoa wa Rukwa hakuna kabisa na maeneo mengine unakatika mpaka mara 10 kwa siku. Inawezekana...
  20. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Wananchi walalamika kutokuunganishiwa umeme Mwanza: Tatizo Nyaya za umeme zimeisha Nyakato TANESCO

    Katika Jiji la Mwanza wananchi katika Makazi ya sehemu Mbalimbali Nyakato,Nyamongoro,Kisesa,Buswelu,kishiri ,Igoma. Nyumba nyingi za Makazi hazijaunganishiwa Umeme kutokana na changamoto ya Tanesco Tawi la Nyakato KUISHIWA NYAYA ZA KUUNGANISHIA UMEME. Waziri Mpya wa Nishati anza na hili La...
Back
Top Bottom