Waziri Kalemani usikubali Mgao wa Umeme Dar

kerubi afunikaye

JF-Expert Member
May 20, 2013
1,183
1,057
Baadhi yetu tunalijua hili shirika vizuri sana from experience,

Tangu juzi lilipotokea tatizo la kuungua substation Morogoro maeneo mengi ya jiji la Dar yana changamoto ya umeme kukatwa kwa muda mrefu (zaidi ya masaa 7).

TANESCO ni wasumbufu mno. Ni shirika linalopaswa kuendeshwa kwa mkono wa chuma. Uzembe wao ndio umesababisha substation kuungua na hili hatupaswi kubebeshwa mzigo sisi wananchi. Wahangaike kutengeneza mitambo yao bila kutuzimia umeme.

Wabane wasikate umeme.Naamini kabisa uwezekano huo technically upo na nnajua nnachokiongea. Usikubali waendelee na huu mgao unaoendelea. Ukiwaacha watakushangaza. Usiwape nafasi hata kidogo. Siku nyingine watakuwa makini.

Dar es salaam haipaswi kukaa bila umeme hata kidogo hivi sasa. Wananchi wana changamoto nyingi sana kuwakatia umeme ni kuwaonea sana. Kuna vitu ambavyo hivi sasa serikali inapaswa kuvichorea mstari. Na haswa maji,umeme na afya. Sio vitu vya kucheza navyo.

Kalemani kuwa mkali.

CC TANESCO
 
Sasa watatengeneza vipi kama hakuna tatizo, waachieni watalamu watengeneze,kuzima lazima ili waondoe tatizo kwa kubadili vifaa
 
Baadhi yetu tunalijua hili shirika vizuri sana from experience,

Tangu juzi lilipotokea tatizo la kuungua substation Morogoro maeneo mengi ya jiji la Dar yana changamoto ya umeme kukatwa kwa muda mrefu (zaidi ya masaa 7).

TANESCO ni wasumbufu mno. Ni shirika linalopaswa kuendeshwa kwa mkono wa chuma. Uzembe wao ndio umesababisha substation kuungua na hili hatupaswi kubebeshwa mzigo sisi wananchi. Wahangaike kutengeneza mitambo yao bila kutuzimia umeme.

Wabane wasikate umeme.Naamini kabisa uwezekano huo technically upo na nnajua nnachokiongea. Usikubali waendelee na huu mgao unaoendelea. Ukiwaacha watakushangaza. Usiwape nafasi hata kidogo. Siku nyingine watakuwa makini.

Dar es salaam haipaswi kukaa bila umeme hata kidogo hivi sasa. Wananchi wana changamoto nyingi sana kuwakatia umeme ni kuwaonea sana. Kuna vitu ambavyo hivi sasa serikali inapaswa kuvichorea mstari. Na haswa maji,umeme na afya. Sio vitu vya kucheza navyo.

Kalemani kuwa mkali.

CC TANESCO
Ngoja niagize majenereta ya kutosha maana sasa wakati wa shida ya umeme unawadia taratibu. Pumzika kwa Amani Mwendazake.
 
Baadhi yetu tunalijua hili shirika vizuri sana from experience,

Tangu juzi lilipotokea tatizo la kuungua substation Morogoro maeneo mengi ya jiji la Dar yana changamoto ya umeme kukatwa kwa muda mrefu (zaidi ya masaa 7).

TANESCO ni wasumbufu mno. Ni shirika linalopaswa kuendeshwa kwa mkono wa chuma. Uzembe wao ndio umesababisha substation kuungua na hili hatupaswi kubebeshwa mzigo sisi wananchi. Wahangaike kutengeneza mitambo yao bila kutuzimia umeme.

Wabane wasikate umeme.Naamini kabisa uwezekano huo technically upo na nnajua nnachokiongea. Usikubali waendelee na huu mgao unaoendelea. Ukiwaacha watakushangaza. Usiwape nafasi hata kidogo. Siku nyingine watakuwa makini.

Dar es salaam haipaswi kukaa bila umeme hata kidogo hivi sasa. Wananchi wana changamoto nyingi sana kuwakatia umeme ni kuwaonea sana. Kuna vitu ambavyo hivi sasa serikali inapaswa kuvichorea mstari. Na haswa maji,umeme na afya. Sio vitu vya kucheza navyo.

Kalemani kuwa mkali.

CC TANESCO
Hayo unaongea kwa serikali ipi ya minido unadhani magufuli bado yupo
 
Back
Top Bottom