umeme

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  2. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Umeme wakati wakati wa kuhesabu kura.

    Leo wilayani ludewa kulikuwa na uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ccm na wajumbe wawakilishi.Ajabu umememe ulikatika wakati wa kuhesabu na jenereta halikuwaka wakati wa kuhesabu na wakati wa kutangaza limewaka hii itakuwa mbinu au nini?
  3. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Compressor ya AC ya gari ya pump na ya umeme

    Nimeona hili swali sehemu. Kuwa gari nyingi za kisasa zinakuja na compressor za umeme. Lakini inapoharibika ukienda uliza wanakutajia bei tofauti kati ya comp ya umeme na ya pump. Hata bei zipo tofauti. Nlitaka kujua katika utendaji ipi ni bora na kwanini? Katika uimara ipi ni bora na kwanini...
  4. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbunge wa Igalula Venant Protas, tumia fedha za mfuko wa jimbo kusambaza umeme vijijini. Acha kununua pikipiki na kukopesha kupata faida binafsi!

    Wewe! Wewe Makinika! Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako! Tumia akili Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mkoa wa Kigoma Wapata Umeme wa Gridi ya Taifa

    Bila shaka Kazi inaendelea.. Kwa mara ya kwanza Mkoa wa Kigoma umepata rasmi Umeme wa Gridi ya Taifa baada ya Kazi nzuri ya Wizara ya Nishati. Hii itasaidia kusimwa kwa mitambo ya mafuta na kupata wawekezaji rasmi wa viwanda vikubwa. Ikumbukwe kampuni ya Intracom ya Burundi ilisema inakusudia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Zimwi la Teknolojia linavyoitafuna Tanzania

    Imeandikwa na Ras Zimba Kwa mujibu wa tovuti ya egscholars.com kupitia andiko lililotolewa tar 16/3/2022 linaonyesha nchi kumi zilizoendelea barani Afrika hasa katika upande wa teknolojia kwa mwaka huu nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Afrika Kusini huku nafasi ya nne ikishikiliwa na Kenya na ya...
  7. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameanza kutuandaa Kisaikolojia. Unakuja Mgao wa Umeme siku zijazo na Watu wanaanza kuingiza Nchini Majenereta

    Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa. Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha uchumi uliokwama.
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kukosekana kwa umeme kwenye baadhi ya mikoa Nchini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kukosekana kwa huduma ya umeme kulikosababishwa na upungufu wa kina cha maji kwenye vyanzo vyetu vya Kihansi na Pangani pamoja na hitilafu iliyotokea kwenye vituo vya Kinyerezi I na Songas leo, Jumanne, Septemba 13, 2022. Hitilafu...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hapa wilaya ya Ngara umeme ni bidhaa ya anasa yapata miezi sasa

    Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na viunga vyake hakika umeme umekuwa ni bidhaa ya anasa na aghari mno kuipata! Kuanzia Benaco, Ngara yenyewe hadi Rusumo umeme umekuwa ukiwaka kwa masaa yasiyozidi manne tena usiku tu na kosa kuche wenye umeme wao huuchukua. Mfano muda huu Benaco na Ngara yote...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Umeme kukatika ovyo tatizo ni nini?

    TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta.
  12. Muwa mtamu

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Arusha sasa ni rasmi mgao wa umeme?

    Tanesco Arusha, je sasa ni rasmi mgao wa umeme? Mbona hamjatangaza? Ndugu wanaJF, ni takriban wiki 3 sasa Tanesco Arusha wanakata umeme kila siku kuanzia saa 3 asubuhi na unarudi jioni sana. Maeneo mengi yanaathirika na kadhia hii hasa Meru na Arumeru kwa ujumla. Na maeneo kadhaa ndani ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mnatuchosha wanasiasa. Mtulipishe tu huo umeme wenu laki 8, Kila kitu tumejenga shule, afya mara barabara. Hizo V8 zenu mbona hamzitaji?

    Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki? Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Tutaweka mchanganyiko wa Umeme wa Maji, Gesi, Upepo, Jadidifu na hata Nyuklia kwenye Gridi ya Taifa

    Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanakusudia kuweka mchanganyiko wa uhakika wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa. Makamba amevitaja vyanzo mbalimbali vitakavyozalisha umeme huo kuwa ni Maji, Gesi, Jadidifu, Upepo na Just. Waziri Makamba amesema hata chanzo cha Nyuklia kinaweza kutumika kama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge Festo Sanga na Subira Mgalu mbona mnahangaika kumtetea Waziri Makamba kauli ya Umeme Laki 8?

    Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni laki 8. Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba...
  16. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Kama Makamba atatenda anayoyazungumza kuhusu umeme ni jambo la muda, tutarajie umeme bora siku za mbeleni

    Nianze kwakusema mimi ni muhanga wa huu umeme wa Tanzania kwani nilishawahi kupata hasara ya mamilioni mara kwa mara kwasababu ya low voltage. Mimi ni mjasiliamali mwenye kiwanda kidogo hivyo kutokana na umeme kuwa mdogo ilikua inalazimu kuwasha machine mojamoja kwani mbili kwa wakati mmoja...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ina majiko imara ya umeme?

    Wakuu naomba kuuliza. Ni kampuni ipi ina majiko imara ya umeme/gas? Jiko linalohitajika la umeme, liwe na plate 2 za umeme na 2 za gas. Natanguliza shukurani.
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na sufuria?

    Habari yenu ndugu zangu, Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Je, ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na kawaida tulivyozoea kuyachemsha kwenye sufuria kwa jiko la gesi au mkaa?
  19. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme

    Habari. Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme]. Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged? Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa. Uimara wake vip? Nitashukuru sana
  20. B

    JamiiForums Tanzania Serikali inajikosesha mapato yenyewe kwenye huduma za maji na umeme.

    Ili liko wako wazi wala situmii nguvu sana kudadavua. Nyumba nyingi kwenye miji na majiji hazina umeme wala maji hata kama huduma iyo imefika eneo hilo na ukiongea na mtu mmoja mmoja izo huduma anazihitaji isipokua ile hela ya mkupuo inakua mtihani kwake. Serikali inakwama wapi kumpelekea...
Back
Top Bottom