umeme

  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yatakiwa Kuwa na Vyanzo Vingi vya Umeme Ili Kufikia Megawati 10,000

    PROF. SOSPETER MUHONGO - TANZANIA IWE NA VYANZO VINGI VYA UMEME KUFIKIA MEGAWATI 10,000 ILI KUKUZA UCHUMI NA PATO LA WATANZNAIA Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mhe. Profesa Sospiter Muhongo ameshauri kupunguzwa bei ya umeme ili Watanzania wengi waweze kuutumia. Profesa Muhongo ameyasema hayo leo...
  3. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme

    Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO. Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu. Sio hilo...
  4. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Msamvu yashindwa kulipia hata umeme, ni giza Totoro!

    Stendi ya Msamvu hali ni mbaya kimapato licha ya uzuri na ubora wake. Menejimenti ya stendi hiyo yashindwa kulipia hata umeme. Abiria wanaporwa hovyo kwasababu ya giza lililotawala kwenye stendi hiyo. Kama vipi tumkabidhi Muarabu aendeshe. ============== Upande wa vyoo vichafu mno, upande wa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tusamehe ushuru wa magari ya umeme na Gesi

    Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3) Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
  7. LAETUS

    JamiiForums Tanzania SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Nishati
  8. Saint_Maxi

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie Jicho Kero ya usambazaji wa Umeme eneo la Ukara, Ukerewe

    Ukara wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kuna shirika la umeme (JUMEME) linahusika na huduma ya usambazaji wa umeme wa nguvu ya jua ila kero ipo kwenye bei. Bei ni Elfu mbili 2000/= kwa kila unit, na namna ya huduma ya kila mteja katika matengenezo yao, kwasababu mita ina tatizo ukimtafuta fundi...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya Mafuta Isiwe Moja kama Bei ya Umeme Nchini?

    MHE. KILUMBE NG'ENDA - AHOJI KWANINI BEI YA MAFUTA ISIWE MOJA KAMA UMEME NCHINI Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda amehoji bungeni kwa nini serikali isiwezeshe bei ya mafuta aina ya petrol, dizeli na mafuta ya taa iwe moja nchi nzima kama ilivyo kwa bei ya umeme kwa unit. Ng’enda ametoa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Fransic Mtinga: Serikali ilijidanganya kupandisha bei ya kuunganishia umeme, ataka irudishwe kuwa Tsh. 27,000

    Dodoma. Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Fransic Mtinga ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuweka gharama za kuunganisha umeme kwa Sh27, 000 kote nchini ili kukusanya makusanyo mengi kutokana na mauzo ya umeme na kodi ya majengo. Ameyasema hayo leo Jumatano Mei 31, 2023 wakati...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Ninatukanwa sana lakini nitalipa kisasi kwa matokeo

    "Siku moja hapa umeme umekatika Bungeni, kumetokea hitilafu. Ghafla bwana “fukuza Waziri, fukuza TANESCO”. Kumbe kuja kuchunguza waala!. Umeme umekatika kwenye uwanja wa mpira, “fukuza Waziri, fukuza TANESCO”. Kumbe ni mambo mengine. Jamani, sio wakati wote ni TANESCO, sio wakati wote ni...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kupiga vita ufisadi sio udikteta. Leo hii ikulu Chamwino imekamlilika, Umeme toka JNHPP utaanza kuzalishwa. Daraja la busisi je?

    Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi
  13. T

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni muongo kuhusu umeme

    January Makamba anasumbuliwa na tatizo kubwa sana la kutojua hesabu na kusema uongo. Anataabishwa sana na kufanya mambo ili kuonekana anafanya makubwa wakati ukweli ni kuwa mbali na maonyesho ya kusaini mikataba kila siku na kuleta porojo za miradi ya umeme bado taifa hili lina matatizo makubwa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu Ameishauri Serikali Kuiongezea Mkataba wa Kampuni ya Kuzalisha Umeme ya SONGAS

    MBUNGE ELIBARIKI KINGU AMEISHAURI SERIKALI KUONGEZA MKATABA WA SONGAS "Na kule wanakopita watu wa CHADEMA wanapiga propaganda kwamba Rais Samia Suluhu Hassan anaweka mabango, nataka nikuambie ukiona mtu anapiga kelele jua umembana vizuri, Mama amewashika kwelikweli kupitia Wizara yako January...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

    Hatimaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme, Mambo tayari huko 🔥🔥🔥 Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba ======= Picha: WAZIRI wa Nishati, January Makamba Serikali imetangaza kuwa, wiki moja ijayo kina cha maji katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANESCO: SGR haitokosa umeme, ratiba kutovurugwa

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema reli ya kisasa (SGR) haitokosa umeme wala kukwama kufanya kazi kwa sababu ya kukatika au kutokea hitilafu katika miundombinu ya umeme. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mhandisi wa Idara ya Mipango ya TANESCO, Lucas Magero, alipozungumza na waandishi wa...
  17. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nimerepair trucks za DAF, Scania, MAN na Benz upande wa umeme lakini MAN tuwape mauwa yao, mpangilio wa mfumo wao wa umeme ni rafiki sana

    Hello bosses and roses... Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri mno, ukichukua MAN moja na trucks za makampuni mengine zenye range sawa ya bei basi utakuta MAN iko...
  18. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANESCO inakata Tsh 6,000 kila ukinunua umeme mwisho wa mwezi

    TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake? Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande, TANESCO wanakata sana umeme wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya

    Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM. Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande, kuwa ana mbinu Za kuing’oa CCM...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

    Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tanzania kama elfu kumi hivi kwa mwezi, na maji ni shilling elfu kumi za Tanzania kwa mwaka, namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka. Hii pia inawezekana Tanzania lakini chini ya...
Back
Top Bottom