Ukosefu wa umeme na maji tatizo liko wapi hasa?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,680
46,358
Ni upungufu wa maji?

Ni ongezeko la mahitaji?

Ni uchakavu wa miondombinu?

Ni upungufu wa rasilimali watu?

Au haijulikani hasa chanzo cha tatizo ?

Wizara husika, TANESCO na idara za maji waeleze kwa upana tatizo ni nini hasa ili raia waelewe na wachangie mawazo ya kujikwamua kutoka matatizo haya ambayo huja na kuondoka kila miaka.
 
Kiukweli kuhusu umeme na mafuta vinatuumiza sana.
Mtu unakuta umeme wa mgao, saa12 zinapita bila ya umeme.. Unakamashine ka kuwasha ili kuendesha shuguli fulani, ukienda sheli na dumu ili ufuate mafuta ya jenereta watu wa sheli wanasema wakiuza mafuta kwenye dumu wanapigwa faini hadi milioni 20 na EWURA.
Kiukweli inaumiza sana.
 
Back
Top Bottom