Mtwara mjini umeme unakatika hovyo bila taarifa yoyote.
Ni siku ya nne sasa toka huu mchezo uanze kufanyika. Tunateseka, baadhi ya vifaa vyetu vinavyotegemea umeme vinaharibika kwa kupata shoti kisa ya umeme kukatika hovyo hovyo. Umeme ukirudi haukai hata unakatwa tena.
Tunashindwa kufanya mambo mengine kwa sababu ya umeme kukatika hovyo hovyo!
Pia, soma DAR: TANESCO mnachotufanyia mtatuunguzia vitu