ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mchambuzi wa Michezo anayekuja kwa kasi nchini George Ambangile wa Wasafi FM asema Ukweli huu Mchungu

    " Kwa Kikosi hiki cha Simba SC kilichoishia hatua ya Robo Fainali juzi na jinsi kilivyo Imara na Wachezaji mahiri hakuna Mchezaji yoyote wa Yanga SC hii ya sasa anayeweza si tu Kucheza bali hata Kuanzia Benchi " Ushahidi Kamili wa Kauli yake hii ipo YouTube Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Kukiwa na dharura ya mchango kwa haraka, wewe na ndugu zako mnaweza kukusanya kiasi gani mkichangishana?

    Katika maisha ya binadamu mara zote kimbilio kuu huwa ni ndugu katika kutatua jambo la dharura! Kwa unavyowajua ndugu zako, wewe na ndugu zako kukiwa na jambo la dharula na mkaamua kuchangishana hapo kama wana ndugu ndani ya siku moja au mbili mnaweza kupata top top Tsh ngapi ile Maximum...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

    Kama Mwamamichezo Halisi ( japo sijifichi ni mwana Simba SC ) nianze kwa Kuwapongeza Kaizer Chiefs FC kwa Ushindi wa Goli Nne na niwape pia Pole Simba SC kwa Kufungwa Mchezo huu wa Kwanza leo. Zifuatazo ni sababu zangu Binafsi za Kiuchambuzi Mimi Krav Maga kwanini Simba SC tumefungwa na Kaizer...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hii picha ina ukweli wowote kwa kinachoendelea Gaza Israel

    Hamas,fatah na Palestine organisation siraha zao huziweka kwenye makazi ya watu,hata wakitaka kufanya mashambulizi,rocket launcher zao huzifyaturia kwenye makazi ya watu wengi,Ili watu hao na makazi yatumike kama ngao dhidi ya Israel,wao hutegemea wakiwaweka Raia wakawaida mbele,Israel...
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe ukweli, vinginevyo Taifa litaangamia

    Eneo la kwanza ni kuheshimu katiba na sheria, hili ni eneo ambalo kama nchi tunataka kudumisha upendo na amani ni la kuzingatia kwa nguvu zote. Samia ameapa kulinda katiba asipofanya hivyo ni uhaini na lazima atakuja kuchukuliwa hatua bila kujali kinga za Urais. Mila na utamaduni wa Taifa lo...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli katika huu ujumbe

  7. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uchumi umeporomoka kutoka 7% mpaka 4.7% kutokana na janga la Corona

    Kuna kipindi tulikuwa tunasikia uchumi umekua. Leo tunasikia uchumi kuporomoka kutoka asilimia saba 7% mpaka nne desimali saba 4.7% na matarajio ya mwaka huu ni kukua angalau kufikia asilimia tano desimali tano 5.5%. Rais Samia amesema, Kuhusu kuwapa pensheni Wazee wote (mkulima, mvuvi n.k )...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa historia ya TANU

    Kauli ya kuwa Julius Nyerere aliwaambia, "Wavunje chama chao," Mzee Msekwa kamkusudia Abdul Sykes lakini kukosa ujasiri wa kulitaja jina la Abdul kwani jina hili kutajwa na kuhusishwa na TANU ilikuwa ni mwiko mkubwa. Ilikuwa ni, "taboo." An-nuur 7 April, 2021
  10. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Siasa za huko ni ngumu Rostam, CRDB na Dangote walishindwa

    Nimekuwa nikisikiliza watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu ile kauli ya Uhuru. Wengi wanasema "afadhali Sasa nikafungue biashara yangu Kenya" Unajiuliza biashara gani hiyo wewe kapuku unaenda kufungua huko? Huko siasa zao ni ngumu Sana utaweza kweli ikiwa ma-tycoon wa biashara walishindwa...
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Ni ngumu kwa Mtanzania kuwekeza Kenya

    Mfanya biashara billionea wa Tanzania bwana Rostam Aziz leo akizungumza kwenye kongamano la wafanyabiashara kati ya Tanzania na Kenya kwenye ziara ya rais Samia amesema mazingira ya uwekezaji kati ya hizi nchi mbili hayako sawa. Rostam amesema ni rahisi sana kwa Mkenya kuwekeza Tanzania lakini...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuna siku mbunge mmoja kati ya hao 19 wenye utata ataeleza ukweli wa kilichotokea, Wanawake hawana koromeo

    Tunakumbushana tu kama kuna kitu kinafanywa siri kati ya wabunge 19 wasiojulikana chama chao, basi siri hiyo iko karibu kutoka. Ikumbukwe kati ya wabunge hao 19 siyo wote wamekata rufaa Baraza kuu la CHADEMA. Unajua ni kwanini? Viongozi wa CCM wengi siyo wajanja, siasa za CHADEMA ni za kimjini...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Matofali ya mchanganyiko wa udongo na mchanga yakiokwa huwa ni imara sana kuna ukweli?

    Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji. Abstract Soil-cement bricks were produced using local clay brick waste (CBW) and soft sludge (SS) from fiber-cement...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

    Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano. Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Usidanganyike kuwa Mahusiano ni "kusikilizana" utaachwa. Ukweli ni lazima mmoja amsikilize mwenzake ndio mtadumu

    Siongezi neno wala kupunguza. Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana. Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni yale mmoja lazima amsikilize mwingine. Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia) Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Usidanganyike kuwa Mahusiano ni kusikilizana utaachwa, Ukweli ni lazima Mmoja amsikilize mwenzake ndo mtadumu!

    Siongezi neno wala kupunguza! Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana! Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni Yale mmoja lazima amsikilize mwingine! Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia) Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo...
  17. The Boss

    JamiiForums Tanzania Serikali ifunge ukurasa wa Ben Saanane ukweli ujulikane

    Niseme wazi kuwa sikuwahi kuwa fan wa Ben Saanane Kwa lolote lile lakini Kwa sababu alikuwa member mwenzetu hapa nilimuona kama mtu wa karibu au ninaefahamiana nae hivi sababu ya kushiriki pamoja mijadala mbalimbali hapa JF. Alipoanza kuandikia gazeti la Raia mwema na kuanza kuhoji PHD ya...
  18. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Ukweli mkali: Yatokeayo sasa Bungeni na kwingineko ni 'laana' ya uchaguzi mkuu wa 2020

    Umekuwa msimamo wangu popote ninaposema au kuandika kuwa mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi mkuu. Kulikuwa na uchafuzi mkuu wa Tanzania. Kulikuwa tu na kutimiza lengo la kuwaondoa 'kivyovyote vile' wapinzani Bungeni. Lengo kuu lilikuwa ni kunyamazisha sauti za upinzani ndani ya Bunge kwa nguvu na...
  19. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kati ya vyama hivi viwili kuhusu dira ya kweli ya maendeleo?

  20. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni Kitu Gani?

    Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi? Je, ukweli ni hiki tunachokiona au tunachokisikia? Je, ukweli ni kile tunachokihisi au tunachokigusa au kinusa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi? Je, ukweli ni mafundisho au ni elimu? Au je, ukweli ni taarifa au ni habari? Ukweli ni kitu gani? Ukweli...
Back
Top Bottom