Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.
Ndugu wazazi wenzangu wasalamu,
Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii.
Nitaeleza kidogo:
Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
Chama cha Watanzania ni CCM, tulieni, Watanzania walio wengi ,na hawa wachache ni wa vyama vingine ambavyo zaid vipo kikanda au kiukoo mfano, wapemba wachaga na kadhalika.
Ifahamike inaposemwa kiukoo au kiukabila usiangalie viongozi zaidi angalia wafuasi na viongozi wao, wengi wanakuwa kutoka...
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba aliyefukuzwa Chadema amesema itachukua zaidi ya miaka 60 ili kufikia pato la dola 1,500 kwa mtu mmoja kwa mwaka.
Makamba alisema tatizo hilo linatokana na uchumi wa Tanzania kusimama tangu mwaka 2001 na kudai wateule wanashindwa kumwambia ukweli Rais...
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila mtu amepata wasaha wakupitia na kusikiliza Album ya Msanii Rayvany basi utakubaliana nami na utaungana na wengi ni mmoja ya wasanii waliotoa album mbovu kwa sasa hapa nchi. Na ndio maana ni wazi kabisa Album za kina Harmonize na Darassa basi zinaendelea kuwa...
Raha ya ushindi ni kunoga kwake. Raha ya uchaguzi ni kushinda halafu kutamba kama mwenye magamba membamba. Kunyakua kiti cha Urais; viti vya Ubunge na Udiwani kufuatiwe na 'utamu' wa kidemokrasia.
Kati ya mihimili ya dola iliyopo: Serikali, Bunge na Mahakama, Bunge ndiyo uwanja wa kisiasa...
Hello JF,
Je, ni kweli wa Africa hatufi sana na Corona sababu tunaendelea na maisha yetu ya kawaida bila UOGA?
Uoga unaleta stress ambayo ina lower immunity make you vulnerable to the virus infection. Sisi hatuna hio stress.
I just think mfano England, those 'daily briefings' send people to...
Wasalaam wanajamvi.
Kama mnakumbuka ujio wa Nandy alianza baada ya Ruby kukorofishana na Clouds media. Watu wengi nikiwapo mimi walikuwa wana doubt sana kipaji cha Nandy toka awali.. na kama kipindi kile watu walikuwa wakimsikia Nandy basi utawasikia wakisema hamna kitu huyo ameletwa kumfunika...
Nimemsikiliza Mbunge mmoja bungeni jana kama sijakosea ni Mbunge wa Maswa, akisema Wazungu wanabagua aina ya magonjwa na chanjo zake ili watufanyie biashara. Akatolea mfano wa Malaria kuwa hawajawahi kutafuta chanjo huku wakijua ndiyo inauwa watu wengi Afrika. Na, wanahangaika na chanjo ya...
Habarini wana nzengo.!
Ni hivi , kuna mambo ni muhimu kukubali ukweli tu ili kuepusha magonjwa ya kujitakia .
Swala la mwanaume kuwa pekeake kwa mwanamke haliwezekani , na swala LA mwanamke kuwa peke ake kw mwanaume labda mpk shetani aokoke .!
Kwa sasa nimetulia nikijaribu kuset mind yangu...
My best Politician Nelson Mandela because he forgave his opponents and tormentors , this proved that man was matured enough to know the real meaning of Best revenge is forgiveness , so I appreciate him as my hero politician.
My footballer is Mess , because has achieved to dominate on top 10 yrs...
Hivi ni kweli kwamba wazungu wametaka kutuua na kutufanya tusizaane kwa kupitia chanjo ya Korona?
Sidhani.
Watoto wetu nasi toka tunakuwa tumepata chanjo za tetenasi, pepopunda, sulua/surua n.k kwa miaka mingi. Na ushahidi wa chanjo ya Ndui upo begani mwa kila Mtanzania. Hizi chanjo sisi...
Katika hali ambayo isiyo ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache...
Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki!
Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli. Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi. Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie...
Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake.
Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu! Mlidhulumiwa nini?
Nirudi kwenye hoja kuu, ninyi wapinzani njaa mpate skendo ya kweli ya ufisadi ambayo...
(Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma)
UPDATE:
Kuna watu wanaulizia jinsi ya kupata nakala ya kitabu cha "Nyuma ya Pazia" cha Balozi Dkt. Wilbrod Slaa. Sasa kinaweza kupatikana baadhi ya mikoa:
Mbeya Piga Simu: 0759829015
Arusha Piga Simu: 0716505921
Dodoma Piga Simu...
Yasmin ni mwanamke mrembo. Tatizo kubwa alikokuwa nalo Yasmin hakuweza kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja. Akiwa kwenye mahusiano, huyo mwanaume akisafiri lazima apate Kiserengeti cha kumliwaza. Hii ilipelekea mahusiano yake mengi yasifike kwenye ndoa baada ya habari kuvuja.
Alitokea...
Credit: Mozambique, Tanzania hold talks on security amid LNG delay worries - News for the Oil and Gas Sector (energyvoice.com)
Mozambique and Tanzania have held high-level talks on a number of issues, including terrorism in Cabo Delgado, as Total pushes for more security. The French company...
Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu,
Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi,
Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa,
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.