Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,347
11,446
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi mojawapo ambayo naomba sana dada zangu mzingatie, msilazimishe kupigwa. Please please nawaomba ile tabia ya "nipige kama wewe mwanaume kweli" si kauli nzuri. Ila pia muwe mnaelewa kiurahisi, asilimia kubwa ya wanawake ni wagumu sana kuelewa, wazito mpaka unajiuliza shida nini? Una date graduate ila unamweleza jambo taratibu kesho na keshokutwa anakuja rudia vile vile mpaka unashangaa au unakuta makosa ni yale yale siku zote.

Mwishowe unatamani angaa umwashe kibao kidogo kichwa chake kikae sawa. Unafanya hivyo, anakuja kulalamika kuwa umemnyanyasa. Hakumbuki jinsi naye alivyokunyanyasa kwa matendo na maneno yake ya kifedhuli au jeuri. Sisi wengine hatupendi sana kubishana, unaleta ubishi na kubetua midomo na kuangalia kwa dharau mtu anakulia tu timing ana kubandika ndoo moja unaenda chini ukiamka unakimbilia Police na madawati ya jinsia. kumbe mnatutia katika vishawishi ninyi wenyewe.

Mimi namfaham jamaa yangu ambaye alikuwa wakati mwingine ananyanyaswa mbele ya washkaji. aliamua kuniita na mimi tumwonye mkewe kwa upendo mkewe alikuwa mjeuri sana, anaongea sijapata ona. mjeuri mpaka mwisho. siku napigiwa simu jamaa yupo polisi amemgonga vichwa mkewe niende mwekea dhamana. Jamaa akiwa polisi alikiri kuwa ni kweli amempiga mkewe. ila polisi nao walifikia hatua wakasema kwa yule mwanamke alivyokuwa anaongea na kumwongelea mumewe hata wao wangeweza fanya kitendo hicho. Jamaa ni mkimya sana, alikuwa amenyamaza tu. mkewe anawasha gari kwenda polisi ku report naye akaongozana naye akaenda kujikabidhi akiwa so cool yaani.

Polisi wakamhoji sana .akasema ni kweli kampiga mkewe sheria tu ifuate mkondo wake hawezi jitetea kwa lolote. Polisi walishangaa sana sababu jamaa alisema. "siwezi kuwa proud au kujisifu kwa kumpiga mke wangu, nimefanya jambo la kipuuzi.ila sijutii nastahili kuadhibiwa" ile kesi tuliimaliza na jamaa akaomba asafiri kwanza akapumzishe akili" jamaa ndipo alipoanzia kutafuta mchepuko hapo" toka siku hiyo anasema alikuwa akirudi home anaacha pesa ya matumizi anatoa kila kitu anahudumia. then analala tu asubuhi anaenda job n.k
 
Hii kauli ya “nipige kama wewe mwanaume kweli” imewaponza wengi sana ila wanawake sisi wengi wetu ni vivuruge
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Kumpiga mwanamke ni kiashiria tosha kuwa mwanaume ni dhaifu.

Mwanaume dhaifu haamini kama uwezo wake wa kumuadabisha mwanamke ni mkubwa kuliko viganja vya mikono yake.

Udhaifu huu unazaliwa na namna mwanaume alivyolelewa na baba yake mzazi.
 
Udhaifu wa mwanaume unadhani unapimwa kwa namna uliyoisema...!? Kuna wanawake majeuri ndugu... Naturally wanaume hatujaumbwa kusemasema, wanawake wao somehow wapo hivyo.

Sasa ukute anachokisema kila kuchwapo ni kile kinachokera tu.. We have limits kuvumilia hayo... na wakati mwingine ushamkalisha na kumueleza vya kutosha, ameshasemwa na kila unayedhani atasaidia, vya kutosha... LAKINI WAPII Utamchapa tu ndugu....
 
Back
Top Bottom