Ujumbe maalumu kwa Ubalozi wa China Tanznia, tunaomba majibu kwa nini ndani ya China mnawafundisha watoto wenu kufanya ubaguzi dhidi ya watu weusi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,288
2,000
Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania

Naamini huu ujumbe utakufikia
Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki.
Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki?
Hivi kweli nyie mnataka "harmonious world" kama ambavyo huwa mnajinasibisha kwenye kauli zenu?

Namna hii , mkiendelea hivi watu weusi watawachukia sana, kwa sababu hii tabia mnayofanya ndani ya nchi yenu ni mbaya sana
Hatujasahau kipindi cha Korona mlivyokuwa mnanyanyapaa watu weui kwenye mitaa ya miji yenu, leo hii tunaona mnaendeleza tabia mbaya kabisa za kujenga kizazi cha kuchukia watu weusi.
Shame on you

Tunataka majibu kwa nini mnafanya mambo haya, la sivyo na sisi tutawaona na nyie ni washenzi tu na tutaanza kudeal na nyie kama nyie mnavyotutreat

TAZAMA HII VIDEO:

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,643
2,000
Unataka ufafanuzi wa nini mkuu...shida hii inaletwa na sisi wenyewe Afrija kuwa tegemezi hata kwa vitu vidogo tu.

Mfano uhuru miaka karibu 60 lakini hatuna hata maininjnia competent wa barabara na majengo,inasababisha miradi yote mikubwa kupewa hao wachina mpaka sasa nchi kama nchi tumefeli kujua hata sera yetu nini na tunaelekea wapi tupo tupo tu.
 
Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,869
2,000
Ubaguzi unapigwa kwa ubaguzi sio kwa maneno rahisi rahisi kama "Say no to racism" au kuomba kupewa ufafanuzi. Mbague anaekubagua.
Kwani Weusi hawabagui? Probably ndio watu wabaguzi kuliko wote, ila ubaguzi wao hauna effect sababu wapo kwenye bottom ya social order
 
Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
6,742
2,000
Unataka ufafanuzi wa nini mkuu...shida hii inaletwa na sisi wenyewe Afrija kuwa tegemezi hata kwa vitu vidogo tu.

Mfano uhuru miaka karibu 60 lakini hatuna hata maininjnia competent wa barabara na majengo,inasababisha miradi yote mikubwa kupewa hao wachina mpaka sasa nchi kama nchi tumefeli kujua hata sera yetu nini na tunaelekea wapi tupo tupo tu.

Soma wewe uwe huyo competent engineer badala ya kulalamikia taaluma za wengine. Mnapenda kutoa lawama ila hampendi kushika hayo majukumu nyie.
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,026
2,000
Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania

Naamini huu ujumbe utakufikia
Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki.
Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki?
Hivi kweli nyie mnataka "harmonious world" kama ambavyo huwa mnajinasibisha kwenye kauli zenu?

Namna hii , mkiendelea hivi watu weusi watawachukia sana, kwa sababu hii tabia mnayofanya ndani ya nchi yenu ni mbaya sana
Hatujasahau kipindi cha Korona mlivyokuwa mnanyanyapaa watu weui kwenye mitaa ya miji yenu, leo hii tunaona mnaendeleza tabia mbaya kabisa za kujenga kizazi cha kuchukia watu weusi.
Shame on you

Tunataka majibu kwa nini mnafanya mambo haya, la sivyo na sisi tutawaona na nyie ni washenzi tu na tutaanza kudeal na nyie kama nyie mnavyotutreat

TAZAMA HII VIDEO:

Hapa wanaongelea juu ya Wanaijeria! sio waafrica wote.Ukweli ata mimi nawachukia wanaijeria kutokana na matendo yao ya kishenzi pote walipo-kwa taharifa yako Wanaijeria ndo wanaomiliki mabinti wa Kwao na wa Kitanzania wanaujiuza China,India,Uturuki na kwengineko...wizi wa mitandaoni ,email fake za dealz kama ile aliyotumiwa Dr. Shika (rip) zote ni hawa watu
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,288
2,000
Hapa wanaongelea juu ya Wanaijeria! sio waafrica wote.Ukweli ata mimi nawachukia wanaijeria kutokana na matendo yao ya kishenzi pote walipo-kwa taharifa yako Wanaijeria ndo wanaomiliki mabinti wa Kwao na wa Kitanzania wanaujiuza China,India,Uturuki na kwengineko...wizi wa mitandaoni ,email fake za dealz kama ile aliyotumiwa Dr. Shika (rip) zote ni hawa watu
Wanaongelewa watu weusi
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
61,973
2,000
Wachina ni wabaguzi sana...

Hua wanabaguana mpaka wenyewe Kwa wenyewe...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom