Mola hamtupi mja wakemaisha ni kupambana sio lele mama.
tusisubiri kuajiriwa, tujiajiri.
uvumilivu ukijumlisha na bidii vinalipa.
Hyu kajitakia tu yaan kashindwa kusukuma mkokotin na kutafuta pa kujiegesha ingekua kuna mteja anaekuja kwenye hyo mvua sawa ila Kama sio ivyo hyo jamaa ni mvivu na hastahil kuingwa